Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Hawezi kumuondoa labda atumie ubabe kama Yule mwendazake aliyemlazimisha Pr Assad astaafu Kwa lazima
Mkuu Matanga shukrani kwa ufafanuzi ILA Rais wetu wa JMT Mh. Samia Sululu hasani si anaweza kumpa CAG wa sasa ubalozi hata huko New York ili iwe kama njia ya kumwondoa nchini? Je CAG akishamaliza muda wake mamlaka ya uteuzi inaweza kumteua tena baada ya kupita miaka fulani?
Ahsante