Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Angekuwa kiboko asingelia kama mtoto mdogo machozi hadi kidevuniView attachment 1737593Ole Sabaya kiboko ya Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa kiboko asingelia kama mtoto mdogo machozi hadi kidevuniView attachment 1737593Ole Sabaya kiboko ya Mbowe
Huna uwezo huo mbwa weweEndelea hivyo hivyo jichanganye tuu uone cha mtema kuni
Duuh...yajayo yanafurahisha zaidiCAG alikuwa Chief Accountant wa Tanroads......usisahau hilo bwashee!
Seriously hujui aliyekufa?Maridhiano na nani? Anaongea issues ndani ya Chama maridhiano na wahuni wakati chama kilishakufa?
Aisee. Si mchezo. Umeamua kuwa mchochea kuni (fireman) kabisa.😆CAG alikuwa Chief Accountant wa Tanroads......usisahau hilo bwashee!
Na wkt ule akimtendea ubaya ule Assad nyie bootlickers mkawa mkimsifia Magu kwa kumuita Chuma cha pua,jiwe,mwamba hahah.Jamaa alimchukia vya kutosha Assad
Hata siku ya kumuapisha Kicheere alikataa Assad asialikwe Ikulu Ikulu kwny sherehe…hakujua kuwa kuna Viumbe vimeumbwa kwa ajili ya kumsujudia Mungu pekee
CAG alikuwa Chief Accountant wa Tanroads......usisahau hilo bwashee!
Hilo si ndiyo jua lenye virutubisho!!!hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo
mbu wa masika ya vuli wanang'ata kama sungusungu na mayangweKila masika na mbu wake!
Sure mkuuKila masika na mbu wake!
Tunamfahamu Eng Koroso mtu mtaratibu asiye na tamaa, na mkimya.Mwenyekiti wa board ya ATCL alikuwa manager wa TANROADS!!
Tunamfahamu Eng Koroso mtu mtaratibu asiye na tamaa, na mkimya.
Sema yuko wrong place , wrong time.
Alikuwa Reg Manager Mwanza miaka hiyoo, and he was a good guy.Sawa hatukatai ustaarabu wa Eng. Korosso, tatizo ni jinsi Jiwe alivyokuwa hajali suitability ya watu alipokuwa anagawa vyeo; to him LOYALTY was paramount, ndio maana akawajaza watu aliotoka nao TANROADS na TANZANIA BUILDING AGENCY!! Hawa ndio walikuwa wasiri wake.
TANROADS Generally katika mashirika ya umma imeperform vizuri zaidi kuliko Taasisi nyingi.Hii taasisi ina ufisadi sana.
Nashauri mama Samia asiishie kwenye ukaguzi wa mahesabu tu, aingie mpaka kwenye technical audit.
Hamtaani madudu mtakayoona na kupigwa
Aliiamini yeye,siyo sisi.TANROADS Generally katika mashirika ya umma imeperform vizuri zaidi kuliko Taasisi nyingi.
Ndio maana JPM aliiamini.
Kama kuna matatizo yapo ni kwa uchunguzi tu ndio mtu anawea kusema.
Tatizo la TAROADS kama ilivyosema huko yuma , i ile kuwa KING MAKER!
Wengine hawatalipenda kwa hilo maana, hata JPM aliwiwa kurudisha fadhila kwa waliomuwezesa.
Kama kuna makosa ni ya mtu biafsi kama tulivyoona kwa Eng Kakoko.
Ni hilo tu!!
Ninauliza tu. Kwa kauli hizi mbona tuliendelea kumsifu nikiwammojawapo. Nani alitufunga macho tusione haya yote?Kwani aliposema awapeleki maendeleo kwa wapinzani, aliposema safarii hii awakosei, aliposema uvccm wamekuwa wapole Sana jeshi lao KILA kitu chao,alipotoa kauli za kintarahamwe ulikuwa ujazaliwa nini?