TANROADS sasa mkae mguu sawa

TANROADS sasa mkae mguu sawa

Screenshot_20210329-172807.png
 
CAG alikuwa Chief Accountant wa Tanroads......usisahau hilo bwashee!
Ila we jamaa bana.

Kidogo kidogo unawahama mataga.

Hahahhahahahahahahaha yani mi nakufatilia sana comments na post zako siku mbili hizi ni kama unataka tukuamini amini kuwa
Miiiii ni mwenzenu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.

Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano. Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.

Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS. Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.

Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.

Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.

Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.

TANROADS mkae mguu sawa.
Huyu Hayati JPM" Aliwaona Walimu Wetu kama Mayaya. Anasema Mwl asiguse hela ya mchango...dah. Kauli dharau kabisa ile....
 
Ila we jamaa bana.

Kidogo kidogo unawahama mataga.

Hahahhahahahahahahaha yani mi nakufatilia sana comments na post zako siku mbili hizi ni kama unataka tukuamini amini kuwa
Miiiii ni mwenzenu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu Yuko njia panda huyo!
 
Na wkt ule akimtendea ubaya ule Assad nyie bootlickers mkawa mkimsifia Magu kwa kumuita Chuma cha pua,jiwe,mwamba hahah.
Watanzania wanafki mnooo binafsi sincerely sijawahi kumkubali jiwe hata nukta moja
 
Sawa hatukatai ustaarabu wa Eng. Korosso, tatizo ni jinsi Jiwe alivyokuwa hajali suitability ya watu alipokuwa anagawa vyeo; to him LOYALTY was paramount, ndio maana akawajaza watu aliotoka nao TANROADS na TANZANIA BUILDING AGENCY!! Hawa ndio walikuwa wasiri wake.
Inauma sana
 
TANROADS Generally katika mashirika ya umma imeperform vizuri zaidi kuliko Taasisi nyingi.
Ndio maana JPM aliiamini.
Kama kuna matatizo yapo ni kwa uchunguzi tu ndio mtu anawea kusema.
Tatizo la TAROADS kama ilivyosema huko yuma , i ile kuwa KING MAKER!
Wengine hawatalipenda kwa hilo maana, hata JPM aliwiwa kurudisha fadhila kwa waliomuwezesa.
Kama kuna makosa ni ya mtu biafsi kama tulivyoona kwa Eng Kakoko.
Ni hilo tu!!
Rubbish
 
Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.

Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano. Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.

Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS. Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.

Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.

Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.

Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.

TANROADS mkae mguu sawa.
Usiwatishe Magufuli bado yupo hakuwa wa kuwafanya chochote
 
Mrejesho tafadhali. Pana lolote limeahafanyika kwenye alivyosema mama kuhusu hawa?
 
Back
Top Bottom