Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli, sema utedaji wao ulimwinua sana JPM.
Watu wa mwendazake hao mkuuUnanitonesha kidonda, aliyekuwa meneja wa TANROADS mkoa wa Mwanza sasa na RC mkoa wa Njombe. Ana kiburi huyu baba sijawahi kuona.
Ukali na propaganda ndo zilikuwa vitendea Kazi vya hayatiNinauliza tu. Kwa kauli hizi mbona tuliendelea kumsifu nikiwammojawapo. Nani alitufunga macho tusione haya yote?
Kwani ilikuwa haikaguliwi? Kama ndio basi ilikuwa ni HATARI.Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.
Ila we jamaa bana.CAG alikuwa Chief Accountant wa Tanroads......usisahau hilo bwashee!
Huyu Hayati JPM" Aliwaona Walimu Wetu kama Mayaya. Anasema Mwl asiguse hela ya mchango...dah. Kauli dharau kabisa ile....Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.
Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano. Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.
Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS. Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.
Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.
Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.
Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.
TANROADS mkae mguu sawa.
Mkuu Yuko njia panda huyo!Ila we jamaa bana.
Kidogo kidogo unawahama mataga.
Hahahhahahahahahahaha yani mi nakufatilia sana comments na post zako siku mbili hizi ni kama unataka tukuamini amini kuwa
Miiiii ni mwenzenu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani kama kiavatar chako.Mkuu Yuko njia panda huyo!
Watanzania wanafki mnooo binafsi sincerely sijawahi kumkubali jiwe hata nukta mojaNa wkt ule akimtendea ubaya ule Assad nyie bootlickers mkawa mkimsifia Magu kwa kumuita Chuma cha pua,jiwe,mwamba hahah.
Inauma sanaSawa hatukatai ustaarabu wa Eng. Korosso, tatizo ni jinsi Jiwe alivyokuwa hajali suitability ya watu alipokuwa anagawa vyeo; to him LOYALTY was paramount, ndio maana akawajaza watu aliotoka nao TANROADS na TANZANIA BUILDING AGENCY!! Hawa ndio walikuwa wasiri wake.
RubbishTANROADS Generally katika mashirika ya umma imeperform vizuri zaidi kuliko Taasisi nyingi.
Ndio maana JPM aliiamini.
Kama kuna matatizo yapo ni kwa uchunguzi tu ndio mtu anawea kusema.
Tatizo la TAROADS kama ilivyosema huko yuma , i ile kuwa KING MAKER!
Wengine hawatalipenda kwa hilo maana, hata JPM aliwiwa kurudisha fadhila kwa waliomuwezesa.
Kama kuna makosa ni ya mtu biafsi kama tulivyoona kwa Eng Kakoko.
Ni hilo tu!!
Any stupid person can say that.Rubbish
Usiwatishe Magufuli bado yupo hakuwa wa kuwafanya chochoteKwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.
Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano. Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.
Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS. Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.
Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.
Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.
Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.
TANROADS mkae mguu sawa.
Atanyooka.Unanitonesha kidonda, aliyekuwa meneja wa TANROADS mkoa wa Mwanza sasa na RC mkoa wa Njombe. Ana kiburi huyu baba sijawahi kuona.
Yule mama dishi litakuwa halipo sawa.Huyu Gwajima huku amejifunika blanket na mumewe wakiwa wamevaa truck suit.
Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.
Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano. Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.
Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS. Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.
Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.
Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.
Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.
TANROADS mkae mguu sawa.
Yule mama dishi litakuwa halipo sawa.
Naongelea mienendo yake baada ya kumtazama kwa muda wote aliotumikia cheo cha uwaziri.Mlikuwa mkisema hivi hivi mwendazake alipokuwapo?