N Nsamaka JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 6,182 Reaction score 29,597 Apr 23, 2023 #21 RWANDES said: mkuu acha kudanganya umma barabara hizo zote wakandaras wamelala haijulikani mradi huo wa barabara kutoka nyakanazi kigoma utakamilika lini! Click to expand... Kitu ambacho nilitaka kusema, nikahisi labda sio kigoma hii hii ninayoifaham. Mfano mdogo tu kasulu to kibondo ni vijisehem vichache ndio vina lami lkn asilimia kubwa ya barabara ni vumbi na tope.
RWANDES said: mkuu acha kudanganya umma barabara hizo zote wakandaras wamelala haijulikani mradi huo wa barabara kutoka nyakanazi kigoma utakamilika lini! Click to expand... Kitu ambacho nilitaka kusema, nikahisi labda sio kigoma hii hii ninayoifaham. Mfano mdogo tu kasulu to kibondo ni vijisehem vichache ndio vina lami lkn asilimia kubwa ya barabara ni vumbi na tope.