R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Nov 14, 2024 #1 Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz kwa wananchi linapokuja suala la kubomolewa nyumba zao.
Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz kwa wananchi linapokuja suala la kubomolewa nyumba zao.