kwema ndugu zangu wa kitanzania
Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi
Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi
Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi
Hivi wasomi wa Tanzania wana uwezo kweli wa kusimamia jambo kama tu kusimamia magari yaliyotengenezwa tayari YAANI KUSIMAMIA TU imeshindikana
Hivi shida ya mwendokasi ni nini, yaani tatizo hasa ni kitu gani? Tech mpya? mafuta? wizi? madereva hamna? barabara mbovu? yaani mzizi wa tatizo ni nini??
yaani biashara ya mabus inatushinda nyie ndio mtibu figo? moyo? mapafu? yaani umepewa bus umeambiwa lisimamie UMESHINDWA
sijui wa kumlaumu ni nani, Tuendelee kumbebesha mzigo SAMIA TU hakuna namna
nchi ya wendawazimu kuanzia SPIKA WA BUNGE KURUDI CHINI yaani namaa nisha hivi Spika wa bunge ni mwendawazimu kurudi chini. na mawaziri wote ni wendawazimu kutoa waziri mkuu