Hata ule ushindi tulioupata kipindi kile kusaka tiketi ya kushiriki mashindano ya Afrika ulikuwa ni ushindi wa mchongo lakini kiuhalisia uganga hatuwawezi,nchi yetu sijui ina laana gani wakati tuna Amani pia tuna rasilimali za kutosha lakini bado tuna umaskini wa kutupwa, kwenye michezo tupo taabani yaani mtu unajiuliza unashindwa kupata jibu,kila kiongozi akiingia madarakani anajifanya kupambana na ufisadi kumbe lenyewe ndilo limekubuhu sasa ole wako ujitie kiherehere kuhoji hoji wiki haipiti utaokotwa ukiwa kwenye kiroba.