George Mpole kipenzi cha wana msimbazi hakuwepo?Mwamnyeto kalala chini badala ya kukaba.
Tshabalala ndio kachomesha kila mtu ameona!!Mwamnyeto kalala chini badala ya kukaba.
Si bora manula kafungwa kwenye box kipa wako mdaka mishale alipasuliwa tatu na sopu tena mbali kabisa.Manura alikua wapi kudaka?
Mimi nilikuwa na wazo kama lako tuachane na mpira kama india ila kila ikifika siku ya ratiba ya kucheza national team kila mtu apewe GB 2 za bure tulambe asali na kumwagilia moyo kuliko kutumia gharama kwa hawa wachezaji wasiojielewa.Tanzania mambo ya mpira tungeachana nayo tufanye mambo mengine. Hayo hatuyawezi
Na tumetoka pale PTA ambapo timu yetu ya taifa ya netball ilikua ni vichekesho vitupu, eti tunafungwa na Eswatini!!,aibu na iwe mwisho kuwa na coach mwanajeshi hawezi hata kujieleza kwa kiswahili, shame!!
Kipenzi cha wana simba ni sopu na sio mpole.George Mpole kipenzi cha wana msimbazi hakuwepo?
Kwa hyo na yeye mwamnyeto akaaamua ajilaze chini.Tshabalala ndio kachomesha kila mtu ameona!!
Wewe ndio umeongea mpira wetu unaongozwa kihuni huni na wajanja wajanja, Uganda wamewekeza sana kwenye soka la vijana.Ukweli timu ya Uganda imewekeza Kwa wachezaji vijana academy, ni mchezaji Gani wa Tanzania angeweza kuchukua mpira akawa na utulivu akapiga chenga na kufunga kama yule mganda mchawi ni uwekezaji wetu Kwa timu za vijana
Karia nae aache inazi wa timu yakeShida Usimba na Uyanga mwingi sana kwenye soka letu
Mpaka na hapa kwenye comment za wadau zinaonyesha Usimba na Uyanga wa wazi wazi
Mie naona tugeukie upande wa kugegeduana basi.Tanzania mambo ya mpira tungeachana nayo tufanye mambo mengine. Hayo hatuyawezi
E u wacha kutukosea heshima watu wa mororgoro, huyo kocha hana uwezo wa kufundisha black vibaTatizo la Taifa Stars no yule kocha. Huyu kocha anafaa akafundishe black viba ya morogoro na siyo timu yetu ya taifa
Kama manura alivyo fyatuliwa na Mauya kilometres 800Si bora manula kafungwa kwenye box kipa wako mdaka mishale alipasuliwa tatu na sopu tena mbali kabisa.
KabisaIle umbwa beki ya simba ya pembeni ndio imetoa boko mbwa yule!