Sawa basi wameingia vijana under 20 Boko na NyoniWe ni mjinga ,siku zote unaleta uyanga tu kwenye kila kitu ,acha upumbavu hii ni mechi ya taifa
Bangi mbaya , tunacheza tu kama tupo mchanganiTuna safari ndefu sana aisee
Mandi,Gidewari ,Dareda,ShamnaDabil kijiji kimoja huko Dareda mkoani Manyara
Kocha mpya wa Simba yupo jukwaani anashuhudia Simba inavyopopolewa.Congo 2 simba 0
Yeah, Simba inacheza na timu za taifaKocha mpya wa Simba yupo jukwaani anashuhudia Simba inavyopopolewa.