Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Hii timu bado sana... Ukiwasikiliza wanasiasa uchwara wanavyoongea utadhani kuna timu ya maana....
 
Kilichobaki ni yale mahesabu ya fulani akifungwa na fulani alafu sisi tukamfunga fulani tunafuzu

Tuendelee kuiombea sitazi wafuzu kombe la dunia..


 
Tumeshatolewa hapo hakuna jipya tena, endeleeni kufurahia chenga zenu tu, kumbe kuwafunga Benin kwao ilikuwa kubahatisha tu
 
Hivi hatuwezi kuwapa uraia akina Bangala, Inonga and co.? Kama tulivyofanya kwa Kibu.
 
Ujinga tu,nyie mumefungwa hapo kwa Mkapa,na
Yanga
Galaxy
Tp mazembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…