Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Mpira hauna haja ya hamasa wanavinbishwa vichwa bure,hawa wangeachwa tu kivyao
 
Ila bado tuna nafasi ya kufuzu kombe la dunia. Yote yawezekana tukimuomba Mungu kwa bidii.

2-0

Wakongo wanaudhi yani midume mizima kazi kujichubua tuu
 
Kama uwanja umetiwa nuksi kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Zesco, imekuaje timu ya Tanzania ikashinda kwenye uwanja huo huo dhidi ya Madagascar?
 
Huyuu kibwana shonari anacheza klabu gani ? Mbona ana michezo ya kitoto ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…