Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Zile hela walizowalazimisha wenye viwanda na matajir wachangie

Wafanyie Jambo la maana hata kujenga shule au hospital wasiwape hao wapuuuz tff wanasiasa na wachezaji
 
Tanesco huku kwetu walishikwa na machale mapema,
Halafu mbona wachezaji wetu mwenzao akiwa na mpira wanajificha?
 
Taarifa nzuri sana sababu TZ ktk vipaji vya soka na mikakati ya kuvitafuta na kuvitumia bado zaidi ya miaka 50 mbele.

Amini usiamini, Rwanda, Uganda, Zambia na hata Kenya wako juu zaidi kisoka kuliko TZ yetu iliyokaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia wake.

TZ tuendelee kutembea vifua mbele kwenye inshu za singeli na taarabu ila si soka la ushindani.
 
Hatujapata matokeo tuliyo yatarajia, ila tumecheza mpira mzuri, Tutengeze timu tu kwa ajili ya baadae
 

Nchi imejaa uchuro tushinde vipi?

Mahakamani makesi ya ajabu ajabu watu wanamshtakia Mungu mfululizo:

 
Pengine kama Mh. Ndugai angalikuwa ndiye mgeni wa heshima, labda tungaliambulia suluhu [emoji849]
 
Mechi ambazo serikali huanza kujitapa na kuongea ongea ndo huwa zinaishia hivi, walipoenda Benin kimyakimya mbona walishinda? Siasa na utaalamu havichangamani, wakiambiwa turuhusu uraia pacha tupate hata akina Poulsen wanaocheza RB Reipzig (raia wetu walioko nchi nyingine) hawataki ila mpira wanataka kushinda.
Imagine hao akina Inonga, Shaban Djuma, Mukoko, Mayele, Kisinda, hawana namba DRC, wangekuwa Tz wana viwango vyetu vya timu ya Taifa, je tulidhani tutawafunga kimiujiza?

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Masikini hadi dada yetu mchambuzi wa michezo UFM Salama Ngare anamwaga machozi.....daah Stars inatuumiza hii....😪😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…