Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana timu huyo nahisi ni mchezaji mpya nimemsikia kwakoHuyuu kibwana shonari anacheza klabu gani ? Mbona ana michezo ya kitoto ?
🤣🤣Timu ipi ya majeshi iliyofanya vizuri kwenye ligi kuu ya Tanzania?
Huyu nae ni mchezaji mpya hana timu ndio kwanza nimemsikia kwakoUyu munyeto ana chezea klabu gani ? Na huko annakocheza anacheza nini hasaaa mbona hovyoo sanaa
Au Kibwana Shomari!Wakimtimua watakuwa wanamuonea kama wachezaji wenyewe ni kina Mzamiru na Kibu
TZ tumechapwa 3 bila,magoli mawili kafunga Aisha na jingine kapombeMkuu, hebu tueleze matokeo ya mechi kati ya wenyeji Taifa Stars dhidi ya timu ya taifa ya DRC
Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam.
Taifa Stars wataingia dimbani wakitafuta point 3 muhimu ili waendelee kutengeneza mazingira mazuri ya kufuzu kombe la Dunia.
Ni mchezo muhimu sana, mechi itaanza saa 10:00 jioni na huu ndio uzi rasmi wa kuleta matangazo hapa, karibuni sana!!
=========
15' Mpira unaendelea uwanja wa Benjamin Mkapa, Time ya Taifa ya Congo inaongoza kwa goli moja lililofungwa dakika ya 6 na Gael Kakuta
66' Idumba anaipa Congo goli la pili, Tanzania 0-2 Congo
View attachment 2006949

Hatuna teamTuna safari ndefu sana aisee
Hata Mimi mgeni.Kwani ni ngapi kwa ngapi?
Duh! Zama za kichwa cha mwendawazimu zimerudi tena?