Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Kikosi chote cha Congo kinachocheza Sasa hivi wote wanacheza vilabu vya ulaya ,wawili tu ndo wanacheza Africa tena Morocco na South Africa.

Tanzania bado sana ila tunasumbua tu
Mkuu sisi tunaishi kwa hamasa
 
18' Samatta anaokoa mpira uliokuwa unaenda golini ili tusawazishe...😳😳😳
huo ndo ujinga walio nao..hapo ukute lengo lake alitaka yeye ndo aingie kwenye record..anaokoa ili iweje..ndo maana hawana utulivu...
 
Wachezaji wetu hata tap in tu inawashinda. [emoji23]
 
26' Stars tunapata free kick na anapiga Zimbwe kwa Samatta ila tunapoteza nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…