Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #81
21' Stars 0-1 Congo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nako kuna shida18' Samatta anaokoa mpira uliokuwa unaenda golini ili tusawazishe...[emoji15][emoji15][emoji15]
Huwa wanafanya vizuri zaidi wakiwa nje ya TzT.stars wakifatiliwa ua wanazingua pressure inakua kubwa mnoo kwa wachezaji
Alikwenda kurogawaziri mkuu alienda kufanya nini uwanjan jana??!!!...ona sasa!!...
Labda kutoboa mpira mkuuKwa aina hii ya mpira, tutatoboa kweli??
Mkuu sisi tunaishi kwa hamasaKikosi chote cha Congo kinachocheza Sasa hivi wote wanacheza vilabu vya ulaya ,wawili tu ndo wanacheza Africa tena Morocco na South Africa.
Tanzania bado sana ila tunasumbua tu
huo ndo ujinga walio nao..hapo ukute lengo lake alitaka yeye ndo aingie kwenye record..anaokoa ili iweje..ndo maana hawana utulivu...18' Samatta anaokoa mpira uliokuwa unaenda golini ili tusawazishe...😳😳😳
Tiyari tushachezea kimoja cha mapema kabisa, tuwape muda huenda wakabadili matokeoHii game wanashinda
ndo maana nikahoji yule muongo wa taifa jana alienda kufanya nini pale uwanja?Mkuu sisi tunaishi kwa hamasa
Qatar kwa kufanya nn ?kucheza mziki fresh na UCHAWA NDIO TUNA WEZA AAAHH yakiwepo mashindano hayo mapema tu tump Qatar mkuuNdoto za kwenda Qatar ndio zimeshayeyuka hivyo.
Vumilia tuuDah,, hapa naishi na wakongo kibao sijui itakuwaje