Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #141
Kwa nini mkuu?Hv huyo Kibu ni kwamba Tz hatuna wachezaji!?
aNi team inacheza kifaza au jua kali
Team imepoaa sana
Atawafungaje ndugu zakeHuyu raia namba 60,000,001 asipofanya jambo la kueleweka basi jumba bovu tutamuangushia yeye na Samatta
Nimecheka sana mkuu.Huyu raia namba 60,000,001 asipofanya jambo la kueleweka basi jumba bovu tutamuangushia yeye na Samatta
Iputagha nkamuMbombo jilipo nalori
Toa kibu hana anachofanya.
Nyie ndio mnatuletea nuksiTaifa Staz leo inashinda goli 1-0. (Mfungaji Feisal au Msuva)
Nawapongeza kabisa kabla game haijaanza. Hongereni kwa ushindi
Mbovu huyoKwa nini mkuu?
Tupo nyuma kwa goal 1Mxuuu
Kikosi kiko vizuri wanahitaji kuendelea wale waleHT......hivi kuna sub gani ya maana nje?
Ndio maana walimtoa nduki EPLPasi nyingi za Samatta ni za kurudi nyuma🚮🚮🚮