Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Sema tulijitahidi.
IMG_20211111_185615.jpg
 
Utaona Jitu linaning'iniza Kende zake linamsubiri Shemeji arudi kupiga Kazi lipate Msosi ikisha libafumbua Domo eti Tanzania itashiriki Kombe la Dunia!!!! Pumbavu! Wanashindwa Vigogo wa Afrika Magharibi kwenda Kombe la Dunia kila siku ni walewale tu kina Cameroon na Nigeria halafu uje iende Tanzania?
 
Dah sijui tuna tatizo gan asee! sehemu ya kushinda ndo tunaboronga. fu.ck
 
Yaan Congo vita yotee ilee na sisi ndo tunawasaidia na majeshi yetu kuwatafutia amani lakini wanatufunga...!!???

Sasa wangekuwa na Amani na kama sisi si ingekuwa shida sanaaa...!!??

Mmmmh asee Timu ya Taifa sijui kuna balaa gani mpaka nazeeka kweli si shuhudii lolotee zuriii...???

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kitu kizito sana tumepigwa nacho kichwani leo

Watu fantasy za kwenda Doha zilitaradadi
 
Basi Watanzania tulivyo Washirikina, usikute hapa tunaombea Madagascar aifunge Benin, halafu mechi ya mwisho, sisi tuwafunge Madagascar halafu Benin watoe sare na DRC!!

Yaani full upigaji ramli....
Na half time Benin anaongoza 1
 
Back
Top Bottom