mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Sasa Online Tv app ipo mubashara kukuletea Michuano ya Confederation Cup, kwenye channel ya Online Tv Entertainment, Bonyeza hapa kudownload kama bado hujafanya hivyo https://bit.ly/2n5MhHo
Kwa IOS app yenu ina jina gani?Sasa Online Tv app ipo mubashara kukuletea Michuano ya Confederation Cup, kwenye channel ya Online Tv Entertainment, Bonyeza hapa kudownload kama bado hujafanya hivyo https://bit.ly/2n5MhHo
we muongo sana..nimeangalia tangu list zinatolewaMimi nilikuwa naangalua kwa kutegea mara naweka mara natoa. Bafana Bafana walikuwa muda wowote warudishe. Wamepiga mpira mwingi sana kwa dakika nilizoangalia.
Labda Nidhamu ya uncle Magu imewaingia Vijana nao wanajituma kwa nafasi yao.
Hongera Taifa Stars
Kiongozi inachanganya kidogo [HASHTAG]#wageni[/HASHTAG] waalikwa ama washiriki waalikwa au timu alikwaHiyo sio CECAFA ni COSAFA ni michuano ya mataifa kutoka kusini mwa Africa. Tanzania ni wageni waalikwa
Wananiudhi sanaSio hajabu ni Ajabu
ili tufungwe,? ......abaki hukohuko hadi michuano iisheSafi sana taifa stars
[hashtag]free Jamal malinzi[\hashtag][/hashtag]
Mkuu ubarikiwe sana yaan npo bush lakin naenjoy TV Safi kbs.Dk 4 zimeongezwa
Enh Magulification!!!!Hongera Starz.. Hongera Maguli.
Akina Lisu na Msigwa watapinga.Enh Magulification!!!!
Supersport 4Channel gani sasa wanaonesha?ni shadow load hiyo apps Maana super sport tatu hamna kitu