Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vacation broKwa nini umerudi? Rudi ughaibuni
We mtanzania kweli.Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
Mkuu kwani ulitembelea wapiBaada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
Ulikaribishwa na harufu ya poverty duuh!!!😂😂Vacation bro
Ndio poverty at its bestUlikaribishwa na harufu ya poverty duuh!!![emoji23][emoji23]
Inaonekana huko ughaibuni una kazi ya kudeki sakafu za hospitali. Huna mbele wala nyuma.Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
Hongera kwa kuishi ughaibuni, wewe ni mTanzania wa pekee sana kuwahi kuishi ubeberuni.Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
Kwani amedanganya? Kwani TZ ni tajiri?Ujinga mzigo....yani umeona uje utuambie kuwa na ww umenda ughaibuni [emoji848] mbona ni mambo ya kawaida ww...acha ulimbukeni....Tz maskini ? Kwaiyo ndicho ulicho jifunza icho? Aiseee
Mkuu endelea kugonga hao Watanzania wenzako. Unafurahisha sana.Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
Sasa si yeye amesema ukweli? Mbona ukweli inawauma sana hivi?Hongera kwa kuishi ughaibuni, wewe ni mTanzania wa pekee sana kuwahi kuishi ubeberuni.
Don't compare developed country with poor country like TanzaniaMTU aliyetoka ughaibuni hashangai bei za vitu kuwa juu . Hushangaa kwa nini parachichi linauzwa Tsh 500/ wakati uingereza linauzwa Tsh 10,000/
Hushangaa kiwanja kinauzwa laki 3, wakati ughaibuni hakuna kiwanja cha kununua .
MTU wa ughaibuni hutamani life style yetu , je wewe umetoka ughaibuni ya wapi?
Umerudi na nini?Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.