Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
Ina maana Bandari imeweka utaratibu wa kupeleka mizigo ICD ili kupunguzwa hussle ya waingizaji bidhaa bandarini. Fedha za kuleta mizigo bandarini ndo hizo hizo zita-cover gharama ya kutolewa Bandari ni na kupelekwa ICD. Kama Kenya wana-charge waandike maumivu...[emoji23] [emoji115]Tafadhali alieelewa hii paragraph anielekeze.,. Maana kama sielewi hivi. Hapa TZ tutafaidika na nini? Yaani faida ni ipi kwa hili ongezeko la biashara kama watasafirishiwa mizigo bure?
Au kama nimeelewa vibaya nielekezwe.
Sent using Jamii Forums mobile app