Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

Kwani Magufuli alikuwa na nini cha maana zaidi ya mwenyewe kuwa mwizi na kundi lake dogo alilolichagua?

Acheni kuabudu mzoga !!
Kuwa na heshima basi
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Umesema kweli ndugu. Ubarikiwe.
 
Pia kipindi cha Magufuli ndio uchumi wetu ulikuwa kwa spidi ndogo zaidi kuliko cha Kikwete na Mkapa, aliharibu zaidi kuliko alivyosaidia
Mwaka wa pili tu wa magufuli nchi ikaingia uchumi wa kati wa chumi za dunia. Baada ya hapo likatokea janga la corona ukuaji uchumi ukashuka toka 7% hadi 4.5%. kiasi bado kizuri kufuatana na jpm alivyomanage covid. Nchi nyingi mfano uganda na kenya ukuaji ulikua chini sana 2% au kua hasi. Uganda kenya majirani wlidhurika sana. Kwa hivyo comment yako ni uongo tu haina mashiko.
 
Siŵezi kumheshimu mtu alibaka binti yake wa kuzaa hatimaye binti akanywa sumu kiogopa aibu mwaka 2012. Sowezi kuheshimu mtu alimzalisha mdogo wa mke wake Janet
Nadhani kuna haja ya kuwa na akiba ya maneno .
 
Siŵezi kumheshimu mtu alibaka binti yake wa kuzaa hatimaye binti akanywa sumu kiogopa aibu mwaka 2012. Sowezi kuheshimu mtu alimzalisha mdogo wa mke wake Janet
Wewe unaona hayo sisi tunaona mambo chanya kutokana na uongozi wake. Ulimchukia kwa hivyo kila uongo na uzushi dhidi yake uliamini.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Upo sahihi kabisa lakini kumpata asiye MUUAJI inategemeana na tafsiri Kwa mfano Kwa Sasa hatusikii kutekwa,kuuwawa au kupigwa RISASI lakini tunapoacha wahamiaji haramu wanaingia Nchini na kupora Ardhi haya NI Mauaji ya Aina nyingine tunapoachia wafanya magendo waingize kila Aina ya Sumu Nchini nao huo ni uuaji wa namna nyingine unapo kwenda kukosa haki yako Mahakamani au Polisi ni uuaji ulioboreshwa.
Leo ukitoa taarifa ya muhalifu unageuka Kuwa muhalifu unapo iba DAWA za kuwatibu MASKINI huu ni uuaji Sawa na uuaji mwingine.
Tuliombee Taifa letu hivi hawa watu wanayoyafanya Serikalini ingekuwa kipindi kile cha kabla ya Kristo ata baadaye adhabu yake ingekuwa nini? Hivi si TULIAMBIWA kwenye SHAMBA sharti magugu yang'olewe?[/QUOTE]
 
Upo sahihi kabisa lakini kumpata asiye MUUAJI inategemeana na tafsiri Kwa mfano Kwa Sasa hatusikii kutekwa,kuuwawa au kupigwa RISASI lakini tunapoacha wahamiaji haramu wanaingia Nchini na kupora Ardhi haya NI Mauaji ya Aina nyingine tunapoachia wafanya magendo waingize kila Aina ya Sumu Nchini nao huo ni uuaji wa namna nyingine unapo kwenda kukosa haki yako Mahakamani au Polisi ni uuaji ulioboreshwa.
Leo ukitoa taarifa ya muhalifu unageuka Kuwa muhalifu unapo iba DAWA za kuwatibu MASKINI huu ni uuaji Sawa na uuaji mwingine.
Tuliombee Taifa letu hivi hawa watu wanayoyafanya Serikalini ingekuwa kipindi kile cha kabla ya Kristo ata baadaye adhabu yake ingekuwa nini? Hivi si TULIAMBIWA kwenye SHAMBA sharti magugu yang'olewe?

Sio hamsikii in mkwamba mmeziba masikio
 
Wewe unaona hayo sisi tunaona mambo chanya kutokana na uongozi wake. Ulimchukia kwa hivyo kila uongo na uzushi dhidi yake uliamini.
Wewe unekuwa kipofu omekufanya habari usizozijua udhanie ni uwongo. Ipokee hivyo hivyo japo chungu kumeza. Magufuli alikuwa shetani
 
Hatuhitaji Rais kauzu tu. Tunahitaji Rais atakaye kuwa na uthubutu wa kurekebisha sheria ziwe na makali kwa watumishi wote wa Umma kuhakikisha hakuna ubadhirifu na akishikwa awe waziri awe mkurugenzi ni jela na kufilisiwa. Sio Rais anayepitisha sheria za kujilinda yeye na rafiki zake wasiguswe na sheria. Magu alikuwa mbabe na hakuwafanya lolote wabadhirifu zaidi ya kulipa visasi. Rafiki zake na ndugu zake walikwiba kama kawaida.
 
Back
Top Bottom