Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

Kuna sheria za kidini zinasema
Usilitaje Jina la Mungu bure, Maana Mungu hatamuhesabia hana hatia mtu atajaye Juna la Mungu bure.
Mnamsingizia Mungu hata mambo ya kizembe. Magufuli kwanza alikuwa ni wa shetani. Huyu mtu alikuwa anaua watu na kutesa bila sababu unadhani angedumu? Ile takataka tu wala usiihusishe na Mungu
 
God doesn’t make mistakes; neither of us is a mistake.learn to respect others
I can't respect a murderer of innocent critiques!! I can't respect a dictator who remotely controlled the national Parliament and threatened the judiciary!! I can't respect the despotic ruler who suppressed freedom of expression.

I can't respect a thief who walked away with Tsh 1.5 Trillion and rigged the 2020 general elections
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Taifa lolote ili lisonge mbele linahitaji mfumo imara na sheria kali zenye kuwajibisha effectively! Kama Taifa hatuhitaji mtu imara, maan atakuja na interest zake ukizingatia katiba imempa rais mamlaka makubwa mnoo, kwa kiongoz mwingine anaweza jiona yeye ndo mweny mamlaka dunian na anastahil kuabudiwa!!
 
Kassimu Majaliwa angefaa kuvaa viatu vya JPM na km angechanganya na falsafa ya SSH tunaenda vizuri lakini ndani ya katiba mpya.
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Kweli kabisa, Mama hafai hat kidogo.....yeye akisifiwa tu na waandishi wa habari anawapa vyeo ili aendelee kusifiwa zaidi. Na sasa kinachofanyika ni kumsifia tu mtindo mmoja huku wasifiaji wakisubiri kupokea simu za teuzi ili waende wakaibe huko waendako.
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Mada yako hii nimekuwa nikiikwepa kwa maksudi tokea ilipowekwa hapa jukwaani. Sababu kubwa ya kuikwepa ni kumwongelea Magufuli; kama kichwa cha mada yako kinavyosomeka.

Ungekuwa umeweka tu kuwa Tanzania inahitaji kiongozi mkali na hizo sifa ulizoelezea mwanzoni wa mada, bila shaka nami ningekuwa nimeshiriki kikubwa kwenye kuchangia mada hii.

Magufuli, siyo kiongozi wa kutolea mfano, pamoja na kwamba kulikuwepo na mambo ambayo yalihitajika sana kwa nchi hii, mambo hayo hayo uliyoyaeleza wewe katika uchambuzi wako. Lakini huyo huyo Magufuli, alikuwa na sura ya pili iliyovuruga sana sifa hizo ulizozitaja wewe, na ni sura hiyo inayomnyima kabisa kuwa kiongozi wa kutolea mfano.
Na kwa maksudi kabisa, naona sura hiyo nawe hukutaka kuigusa kabisa katika maelezo yako.

Ndiyo, ninakubaliana nawe moja kwa moja kwamba Tanzania ni nchi inayohitaji kiongozi mwenye sifa hizo ulizoziandika wewe. Kiongozi asiyevumilia kabisa kuvurugwa kwa juhudi za wananchi katika kujiletea maendeleo. Kiongozi asiyechezea mali za wananchi na kuzitawanya hovyo hovyo na kukiuka mipango ilivyowekwa. Kiongozi asiyecheka na wahujumu uchumi wa wananchi.

Tanzania inahitaji kiongozi anayeamini kwamba maendeleo ya nchi hii yatatokana na juhudi za wananchi wenyewe, na kuwa serikali ipo na ina majukumu ya kuzilinda na kuziendeleza juhudi hizo. Serkali inayofanya kila iwezalo kuwajengea uwezo waTanzania katika nyanja mablimbali.

Kiongozi anayehitajika Tanzania ni "MZALENDO" wa kweli, siyo mzalendo wa kuigiza na kutafuta sifa

Tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye upeo mkubwa, anayejua mwelekeo wa dunia inakoelekea, lakini anabaki huru bila kujiweka kuwa kibaraka wa upande wowote. Yeye anabaki kuwa ni kibaraka wa waTanzania tu basi.

Ndiyo, kiongozi ni lazima awe mkali, lakini ukali wake usiwe ni wa kuonea watu asiokubaliana nao. Awe ni kiongozi mwenye kuheshimu taratibu, sheria na Katiba ya nchi.

Tukipata kiongozi mwenye hata nusu ya sifa hizo, Tanzania itabadilika haraka sana.

WaTanzania siyo watu wabishi, na siamini kuwa ni watu wavivu. Kinachotakiwa ni kiongozi tu wanayemwamini katika kusimamia juhudi zao za maendeleo kwa umakini mkubwa.
 
Watanzania kundi kubwa Sana Kama mtoa mada ulivyosema ni waendekeza maneno,uzembe sana kazini,hawawajibiki,uwezo wa kuchanganua Mambo ni mdogo mno,ingia hata kwenye taasisi kubwa za serikali,yaani watu unaowakuta humo ukipose hoja fikirishi kabisa hakuna la maana utapata,kwakweli ili tuendeleeeeeeeeeee anahitajika Raisi mwingine mwenye makali zaidi ya magufuli ,ambaye ataendekeza mijadala kidogo pale inapolazimu,lakini hii nchi ili isonge inahitaji RAISI wa zaidi ya magufuli,mwenye makali Sana, Tena very focused,Kwasababu kundi kubwa la watanzania ni(a) waendekeza starehe
(b)wazembe kazini
(c) wafisidi Sana wa vitu vya umma,wizi,careless
(d)Hawana focus ya kulipeleka taifa mbele Bali maneno maneno na michakato mingi huku mingi ikiwa ni michakatoya Kula pesa kubwa kubwa tu,kinachofanyika hakipo.
ANAHITAJIKA RAISI MWINGINE MWENYE MAKALI MARATANO YA MAGUFULI Nina penpal friend wangu Yuko MISRI alianza kwa kunipa maneno yafuatayo baada ya kifo Cha Raisi magufuli,"people can focus their attention on only too many things.The more it lands on politics,the less energy -emotional and intellectual - is available to attend the problems that fall under the head of the real work,most leaders in LDCs Tanzania inclusive evidently spent too much of their emotional and intellectual energy on politicking.An appropriate middle ground needs to be achieved.An individual's degree of politicalness is a matter of political values,ethics,and temperament.people who are either strictly non political or highly political generally pay a price for their behaviour.The former may experience slow promotion and feel left out,while the latter may run the risk of being self serving and lose their credibility( most of African executives are inclusive).people at both ends of the political spectrum may be considered poor team players,to redirect their people and country on a focused direction.A moderate amount of prudent political behaviour generally is considered a survivor tool in complex organization,any country in appropriate,Tanzania inclusive.Measurable objectives are management's first line of defense against negative expressions of organizational politics.To resolve the conflict between middle leaders' self interests and strategy implementation. The top leader in executive need to build commitment to strategic plans either by reinforcement or forcement through qioloties,and sagacious leading to goal setting heed" greedy people killed magufuli,he was the hero to jumpstart,and stepping stone for Tanzania and East Africa.Angalia Sasa report za CAG zinataja wazi wazi wezi,Ila wameogopwa na serikali kuwashughulikia kiss eti wanamzizi mrefu wa siasa,hivyo wakitikiswa na nchi itatikisika,hivi kweli inaingia akilini mtu ale rushwa halafu anatunisha sharubu kuwa akitikiswa ataikisa nchi!!!!!!!!!!,anahitajika Raisi mwenye makali Mara tano ya MAGUFULI nchi itasonga sana
 
Kwani Magufuli alikuwa na nini cha maana zaidi ya mwenyewe kuwa mwizi na kundi lake dogo alilolichagua?

Acheni kuabudu mzoga !!
 
I can't respect a murderer of innocent critiques!! I can't respect a dictator who remotely controlled the national Parliament and threatened the judiciary!! I can't respect the despotic ruler who suppressed freedom of expression.

I can't respect a thief who walked away with Tsh 1.5 Trillion and rigged the 2020 general elections
do you own evidences ? or just hearsay and feelings
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Aisee! Unashangaza sana. Hatuhitaji mtu wa namna ile tena. Tumerudi nyuma sana kiuchumi
 
Kweli Tanzania bado ina safari ndefu. Hivi mbona msibani huwa tunaaswa kusahau yaliyopita. Hata km ni mzazi wako kafariki huwa tunaambiwa kuwa wavumilivu ktk kipindi hicho kigumu na kusahau kwani kazi ya Mungu haina makosa.

Hii akili ya kumuongelea marehemu kila kukicha kwa hoja Mfu na blaaa blaaa kibao ni uchuro, ukosefu wa taarifa sahihi, na kutojiamini. Pia ni tusi kubwa kwa uongozi uliopo. Hivi Kila mtu akianza kumkumbuka na kusema bora flani angekuwepo sasa hamuoni hapo mtakuwa pia mnamkufuru Mungu. Au hamna dini. Maana huwa tunasema kazi ya Mungu haina makosa kwanini nyie mnamuona Mungu anamakosa.

Hivi mnajua aliyofanya baba wa Taifa, Mwlm Jk Nyerere enzi za uhai wake au mlikuwa bado watoto au mlikuwa hamjazaliwa au hata shule hamkusoma. Mnakumbuka hadi amekuwa akitajwa na kusemwa kuwa anastahili kuwa MTAKATIFU ambayo ni heshima kubwa kwa mwanadamu wa Duniani na ni wachache. Enzi za utawala wake uliza alivyo wanyoosha wezi na mafisadi wa Nchi hii. Watu walitupa maburungutu na magunia ya fedha hovyo hovyo barabarani na wengine kutupa mashambani. Alikuwa chuma kweli kweli. Kaulize ile familia ya mzungu aliesema ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni kilichomkuta ndani ya masafa 24. Na mengine mengi. Lakini alipofariki wenye akili walikubaliana na matakwa ya Mungu kuwa amefariki na kazi ya Mungu haina makosa. Huwezi kuskia watu wakiropoka hovyo kuwa bora angekuwepo maana wenye akili wanaamini Kila mtu yupo hapa Duniani kwa makusudi na kwa muda wake.

Kung'ang'ania hoja ya kutamani aliefariki angekuwepo ni utumwa wa fikra na dhuluma ya nafsi yako maana hata wewe au mwingine yeyote anaweza kufanya hayo unayotamani, shida ni kukosa tu nafasi. Hakuna kitu so special or perculiar alichokuwa nacho ambacho binadam wengine waliobaki hawana

Tukubali tu kuwa mtu akiondoka ameondoka na waliopo waendelee kwa kadri ya uwezo wao. Sitaki kusema sn ila tuheshim mamlaka, dharau mpelekee mkeo/mumeo.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom