Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamsingizia Mungu hata mambo ya kizembe. Magufuli kwanza alikuwa ni wa shetani. Huyu mtu alikuwa anaua watu na kutesa bila sababu unadhani angedumu? Ile takataka tu wala usiihusishe na MunguKuna sheria za kidini zinasema
Usilitaje Jina la Mungu bure, Maana Mungu hatamuhesabia hana hatia mtu atajaye Juna la Mungu bure.
I can't respect a murderer of innocent critiques!! I can't respect a dictator who remotely controlled the national Parliament and threatened the judiciary!! I can't respect the despotic ruler who suppressed freedom of expression.God doesn’t make mistakes; neither of us is a mistake.learn to respect others
Taifa lolote ili lisonge mbele linahitaji mfumo imara na sheria kali zenye kuwajibisha effectively! Kama Taifa hatuhitaji mtu imara, maan atakuja na interest zake ukizingatia katiba imempa rais mamlaka makubwa mnoo, kwa kiongoz mwingine anaweza jiona yeye ndo mweny mamlaka dunian na anastahil kuabudiwa!!Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Mkuu umetisha.Ushahidi huu hapa
Ben sanane yupo wapi
Anzory gwanda yupo wapi
Watu waliuwawa KIBITI,MKURANGA, KISIJU NA MAFIA
Nani alimpiga risasi TL
Akwilin Akwilin Alipigwa risasi na nani kwa amri ya nani?
Mpaka uwe mpumbavu ndiyo utadai ushahidi dhidi ya serikali ile ya ki dictata
Kweli kabisa, Mama hafai hat kidogo.....yeye akisifiwa tu na waandishi wa habari anawapa vyeo ili aendelee kusifiwa zaidi. Na sasa kinachofanyika ni kumsifia tu mtindo mmoja huku wasifiaji wakisubiri kupokea simu za teuzi ili waende wakaibe huko waendako.Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Haya yanawezekana kama CCM itaondoka madarakani.Awe kama magu lakini
1. asiwe muuaji.
2. mbambikiaji kesi watu,
3. anayetumia majambazi kuongoza (refer Sabaya),
4. Asiyeiba kura,
5. asiye piga watu risasi.
Una ushahidi na hizo tuhuma?Awe kama magu lakini
1. asiwe muuaji.
2. mbambikiaji kesi watu,
3. anayetumia majambazi kuongoza (refer Sabaya),
4. Asiyeiba kura,
5. asiye piga watu risasi.
Mada yako hii nimekuwa nikiikwepa kwa maksudi tokea ilipowekwa hapa jukwaani. Sababu kubwa ya kuikwepa ni kumwongelea Magufuli; kama kichwa cha mada yako kinavyosomeka.Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Mwanzo mpya unahitajika sana. CCM haina tena la ziada. Walichobaki nacho ni kulinda maslahi yao tu basi.Haya yanawezekana kama CCM itaondoka madarakani.
Kwani Magufuli alikuwa na nini cha maana zaidi ya mwenyewe kuwa mwizi na kundi lake dogo alilolichagua?Watanzania kundi kubwa Sana Kama mtoa mada ulivyosema ni waendekeza maneno,uzembe sana kazini,hawawajibiki,uwezo wa kuchanganua Mambo ni mdogo mno,ingia hata kwenye taasisi kubwa za serikali,yaani watu unaowakuta humo ukipose hoja fikirishi kabisa hakuna la maana utapata,kwakweli ili tuendeleeeeeeeeeee anahitajika Raisi mwingine mwenye makali zaidi ya magufuli ,ambaye ataendekeza mijadala kidogo pale inapolazimu,lakini hii nchi ili isonge inahitaji RAISI wa zaidi ya magufuli,mwenye makali Sana, Tena very focused,Kwasababu kundi kubwa la watanzania ni(a) waendekeza starehe
(b)wazembe kazini
(c) wafisidi Sana wa vitu vya umma,wizi,careless
(d)Hawana focus ya kulipeleka taifa mbele Bali maneno maneno na michakato mingi huku mingi ikiwa ni michakatoya Kula pesa kubwa kubwa tu,kinachofanyika hakipo.
ANAHITAJIKA RAISI MWINGINE MWENYE MAKALI MARATANO YA MAGUFULI Nina penpal friend wangu Yuko MISRI alianza kwa kunipa maneno yafuatayo baada ya kifo Cha Raisi magufuli,"people can focus their attention on only too many things.The more it lands on politics,the less energy -emotional and intellectual - is available to attend the problems that fall under the head of the real work,most leaders in LDCs Tanzania inclusive evidently spent too much of their emotional and intellectual energy on politicking.An appropriate middle ground needs to be achieved.An individual's degree of politicalness is a matter of political values,ethics,and temperament.people who are either strictly non political or highly political generally pay a price for their behaviour.The former may experience slow promotion and feel left out,while the latter may run the risk of being self serving and lose their credibility( most of African executives are inclusive).people at both ends of the political spectrum may be considered poor team players,to redirect their people and country on a focused direction.A moderate amount of prudent political behaviour generally is considered a survivor tool in complex organization,any country in appropriate,Tanzania inclusive.Measurable objectives are management's first line of defense against negative expressions of organizational politics.To resolve the conflict between middle leaders' self interests and strategy implementation. The top leader in executive need to build commitment to strategic plans either by reinforcement or forcement through qioloties,and sagacious leading to goal setting heed" greedy people killed magufuli,he was the hero to jumpstart,and stepping stone for Tanzania and East Africa.Angalia Sasa report za CAG zinataja wazi wazi wezi,Ila wameogopwa na serikali kuwashughulikia kiss eti wanamzizi mrefu wa siasa,hivyo wakitikiswa na nchi itatikisika,hivi kweli inaingia akilini mtu ale rushwa halafu anatunisha sharubu kuwa akitikiswa ataikisa nchi!!!!!!!!!!,anahitajika Raisi mwenye makali Mara tano ya MAGUFULI nchi itasonga sana
do you own evidences ? or just hearsay and feelingsI can't respect a murderer of innocent critiques!! I can't respect a dictator who remotely controlled the national Parliament and threatened the judiciary!! I can't respect the despotic ruler who suppressed freedom of expression.
I can't respect a thief who walked away with Tsh 1.5 Trillion and rigged the 2020 general elections
yaaaani 😢 😢 😢 😢 😢 😭😭😭😭Mlipata rais wa maana mkamuuwa "alinimbia rafiki yangu mzambia"
USSR
Aisee! Unashangaza sana. Hatuhitaji mtu wa namna ile tena. Tumerudi nyuma sana kiuchumiHabari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
💯 evidence availabledo you own evidences ? or just hearsay and feelings
Alikufa, sio sahihi kusema aliuliwa. SIO SAHIHI..Mlipata rais wa maana mkamuuwa "alinimbia rafiki yangu mzambia"
USSR