Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
 
Tayari tuna Samia..na binafsi naona ameanza vizuri..naamini atafikisha taifa tunapotaka..teuzi zake so far zinaonyesha umakini alio nao..Hao team pre 2015 ndio hatari kwa usalama wa taifa hili. Kikubwa amewaepuka hatuna budi kumshukuru Mungu. Mungu ampe afya njema Madam President.
 
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Eti mikopo !!. Deni kuu la taifa limeongezeka mara mbili kipindi chake kama hujui [emoji3517]

Odhis *
 
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Tatizo elimu
 
Imebaki Story.
 
Mama samia usiwasahau wale masheikh wa uamsho kesi yao isikilizwe, viongozi waliopita hakuna aliejalk SI MUISLAMU/KIKWETE WALA MKRISTO/MAGUFULI,,,, wafungwa wengi walipata misamaha kwa viongozi waliopita, lakini masheikh kusikilizwa kesi yao tu imekuwa shida.

Sikilizeni ninyi watu wa mahakamani, Hakimu n.k. mjuwe kabissa Allah anawaona kwa dhulma na unyanyasaji myafanyayo kwa hao masheikh, na kumbukeni umauti upo na hauchagui tajiri, masikini, kiongozi, hakimu n.k. muogopeni Mungu, ipo siku mtaondoka duniani na mtaulizwa kwa mliyoyafanya.

Mama samia nakuomba simamilia hili swala la hao masheikh, Allah atakulipa mama yangu,,, madhaalim wasiowatakia mema hao masheikh ipo siku wataondoka mmoja baada ya mwingine, wasidhani wataishi milele.

Wasalaam.
 
Unauliza nani anafaa kuwa rais wa tanzania!? We nimzima kweli? Hivi rais aliewepo humjui? Acha bange babu yule ameshakufa hawezi rudi tena maisha lazima yaendelee
 
UPUUZI MTUPU!!
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
 
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Hakika ulitakiwa uzikwe naye
 
Sasa yeye ndo kakopa kuliko wenzake wote waliomtangulia. Wewe unaishi nchi gani ndugu?
Kuna vichwa vingi kama wewe vinajua hayo uyajuayo( muonewe huruma tu)
Unapotaka kumpamba mtu basi kusnya facts zake zote.
Miradi ya SGR na Stiglers ni mikopo tena ya riba kubwa.

Tunachojiuliza ni kwamba fedha zote alizokopa zimeenda wapi?
 
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Nakuja mkuu 2025 utanipenda mwenyewe. Nchi itapaa. Tanzania ya viwanda itakuwa for real na sio stori stori. Gari zitaanza kutengenezewa hapa hapa nchini. Makampuni ya Toyota, Nissan etc yataanza kutengenezea gari hapa hapa. Mikoa yote itakuwa majiji yenye hadhi ya kuitwa majiji sio majiji jina tu.
 
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Huyo mtu wenu alitaka kujigeuza mungu mtu na mungu mwen enzi yote mungua isaka, na yakobo akaona iisiwe tabu wewe huwezi kujitukuza na ukataka utukuzwe , wakutukuzwa ni mimi tu njoo huki!! Ndio hivyo tu.

Na hatutaki aje atokee tena tanzania mtu wa aina yake tunaomba tabia zake awe amekufa nazo kabisaaa.
 
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hayupo.

Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.

Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?

Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Si Tanzania tu inayohitaji mtu kama Magufuli bali Afrika nzima.
 
Back
Top Bottom