Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Bro mkubwa hii nchi imejaa mazombie sanaHivi unafikiri Africa nzima ni Mataga aka Wanyonge kama nyie? Ingekuwa amri yangu wew na mleta mada mgezikwa na Jiwe.

Ni rahisi sana mkuu.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Huna akili nzuri wewe! Tunashukuru mungu hatunae aliligawa taifa letu sana.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Nitumie namba yako ya cm tafadhali ToosweetHakika ulitakiwa uzikwe naye
Mkamfufue 🤣Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Sasa tunaye zaidi ya JPM, yaani Mhe. Samia Suluhu Hassan. Unasemaje???Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
hatuhitaji kabisa, si unaona watu siku hizi walivyo na furaha na amani! na pesa zitakuja tu kwa kufanya kazi tukiwa na furaha na amani. though kuna mambo mengi mazuri aliyafanya.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Labda kama ulitaka akuoe, sisi hatuhitaji rais muuaji, mwizi,kichaa na mkabila. Asante Mungu kwa kutuondolea shetaniDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Tz ina binadam sio mbuzi,wa kubuluzwa KWA mabavu type iyo haifai katika taifa Kama tzDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Akija mwingine mtamsema atakufa piaDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Kweli kabisa. Tanzania ilimuhitaji Magufuli kuliko Magufuli alivyoihitaji Tanzania. Mungu ailaze roho yake mahili pema peponiDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Passed and lost. RelaxDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Weka figures wacha uongo.Sasa yeye ndo kakopa kuliko wenzake wote waliomtangulia. Wewe unaishi nchi gani ndugu?
Kuna vichwa vingi kama wewe vinajua hayo uyajuayo( muonewe huruma tu)
Unapotaka kumpamba mtu basi kusnya facts zake zote.
Miradi ya SGR na Stiglers ni mikopo tena ya riba kubwa.
Tunachojiuliza ni kwamba fedha zote alizokopa zimeenda wapi?
Wanyonge wanapika vitumbua kwenye zebraWanyonge bhana. Sijui wanakwama wapi?
Wanyonge walipopewa uhuru wa kuuza mboga mboga sehemu yoyote basi wanaona kama hawatapata pesa
Never and never again kupata mtu kama mwendakuzimu nchi hii . Tangu uhuru tunategemea mikopo, misaada nbajrti yetu ni tegemezi, mwendakuzimu aliwadanganya.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.