Rais ambaye hatairudisha mitambo ya dowans na richmond kuinyonya Tanesco na watz! Rais ambaye hatarudisha upuuzi wa kusafirisha makinikia barala yake atahimiza uchenjuaji hapahapa nchini!Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Yaani kwa akili yako Tanzania nzima mwenye akili alikuwa mmoja tu mwendazake? hatujawahi kuwa na maraisi walioleta maendeleo ila mwendazake? Yaani naona mlikuwa mnamwabudu huyu mtu na Mungu amesema "He does not share glory with anyone". Nyie kumbe ndiyo mlimponza mwendazake!!!!Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.