Eti mikopo !!. Deni kuu la taifa limeongezeka mara mbili kipindi chake kama hujui [emoji3517]Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Tatizo elimuDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.

Hakika ulitakiwa uzikwe nayeDkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Sasa yeye ndo kakopa kuliko wenzake wote waliomtangulia. Wewe unaishi nchi gani ndugu?Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Nakuja mkuu 2025 utanipenda mwenyewe. Nchi itapaa. Tanzania ya viwanda itakuwa for real na sio stori stori. Gari zitaanza kutengenezewa hapa hapa nchini. Makampuni ya Toyota, Nissan etc yataanza kutengenezea gari hapa hapa. Mikoa yote itakuwa majiji yenye hadhi ya kuitwa majiji sio majiji jina tu.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Huyo mtu wenu alitaka kujigeuza mungu mtu na mungu mwen enzi yote mungua isaka, na yakobo akaona iisiwe tabu wewe huwezi kujitukuza na ukataka utukuzwe , wakutukuzwa ni mimi tu njoo huki!! Ndio hivyo tu.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Si Tanzania tu inayohitaji mtu kama Magufuli bali Afrika nzima.Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake.
Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka kuikopesha nchi yenye dhahabu,almasi, na Tanzanite? Nchi yenye korosho, gesi asilia, sato na sangara hawa ni kina nani?
Nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ajaye mwenye vinasaba vya Dr. John Pombe Joseph Magufuli?
Hivi unafikiri Africa nzima ni Mataga aka Wanyonge kama nyie? Ingekuwa amri yangu wew na mleta mada mgezikwa na Jiwe.Si Tanzania tu inayohitaji mtu kama Magufuli bali Afrika nzima.
Stupid kabisa hawa watu. Nasema tena stupid nikiwa na hasira.Wanyonge bhana. Sijui wanakwama wapi?
Wanyonge walipopewa uhuru wa kuuza mboga mboga sehemu yoyote basi wanaona km hawatapata pesa