Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

Ni rahisi sana mkuu.

Mfuate huko alikokwenda mkaanzishe hiyo Tanzania unayoililia.

WaTanzania waliobaki huku hawataki kuendelea kuwa mateka wa mtu mmoja.

Umenipata?

Naona elimu yako ni ndogo sana, jambo linalokusumbua hadi kuandika hayo uliyoandika hapo juu.
 
Huna akili nzuri wewe! Tunashukuru mungu hatunae aliligawa taifa letu sana.
 
Mkamfufue 🤣
 
Sasa tunaye zaidi ya JPM, yaani Mhe. Samia Suluhu Hassan. Unasemaje???
 
hatuhitaji kabisa, si unaona watu siku hizi walivyo na furaha na amani! na pesa zitakuja tu kwa kufanya kazi tukiwa na furaha na amani. though kuna mambo mengi mazuri aliyafanya.
 
Labda kama ulitaka akuoe, sisi hatuhitaji rais muuaji, mwizi,kichaa na mkabila. Asante Mungu kwa kutuondolea shetani
 
..hatuhitaji kiongozi asiye na utu, asiyeheshimu katiba, na anayetukana viongozi wenzake na wananchi.
 
Tz ina binadam sio mbuzi,wa kubuluzwa KWA mabavu type iyo haifai katika taifa Kama tz
 
Akija mwingine mtamsema atakufa pia
 
Subiri mpaka 2025 tutafanya ulinganifu wa mama na JPM now its too early
 
Kweli kabisa. Tanzania ilimuhitaji Magufuli kuliko Magufuli alivyoihitaji Tanzania. Mungu ailaze roho yake mahili pema peponi

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Passed and lost. Relax
 
Weka figures wacha uongo.
 
Never and never again kupata mtu kama mwendakuzimu nchi hii . Tangu uhuru tunategemea mikopo, misaada nbajrti yetu ni tegemezi, mwendakuzimu aliwadanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…