Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

An accident to the nation.Kiongozi yeyeto anaeichezea nchi hii huwa anasambaratika mara 7.
 
Rais ambaye hatairudisha mitambo ya dowans na richmond kuinyonya Tanesco na watz! Rais ambaye hatarudisha upuuzi wa kusafirisha makinikia barala yake atahimiza uchenjuaji hapahapa nchini!
 
Yaani kwa akili yako Tanzania nzima mwenye akili alikuwa mmoja tu mwendazake? hatujawahi kuwa na maraisi walioleta maendeleo ila mwendazake? Yaani naona mlikuwa mnamwabudu huyu mtu na Mungu amesema "He does not share glory with anyone". Nyie kumbe ndiyo mlimponza mwendazake!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…