Tanzania bado ni nchi maskini sana

Tanzania bado ni nchi maskini sana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga
Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu .

Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta .

Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao they live in extreme poverty.
 
Pia wakuu nauza Tende kwa bei nafuu sana Ahsanteni na Ubuyu kutoka Zanzibar
IMG-20220324-WA0007.jpg
 
To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga
Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu .

Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta .

Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao they live in extreme poverty.
Umasikini umezalishwa na watawala,
Ukiuza nyumba ukapanga guest house ni muelekeo wa kufirizika.Tuliuwa au kuuza viwanda vikubwa na vizito zaidi ya 400 vilivyokuwa vipaumbele vya maendeleo,tukaita cherehani nne ni kiwanda,ndio sass tunakula tulichopanda umasikini wa kupindukia.
 
Lakini viongozi wetu wanaishi maisha ya kitajiri.
 
Back
Top Bottom