DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Anza kuuzia ndugu zako,Pia wakuu nauza Tende kwa bei nafuu sana Ahsanteni na Ubuyu kutoka Zanzibar
View attachment 2215095
Yah hata mimi mkuuImenichukua dikika 5 kugundua kuwa wewe ni mwanaume mwenzetu, duh kazi ipo
Umasikini umezalishwa na watawala,To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga
Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu .
Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta .
Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao they live in extreme poverty.
Chuki tu imekaa mbwa weAnza kuuzia ndugu zako,