Tanzania bans Kenyan products even after truce

Uchochezi tu manyang'au wanaona dampo lao la kumwaga low quality goods limeingia dosari, njooni mfanyebiashara acheni maneno mengi kama wazaramo!
Upuuzi kabisa
 
wato

watoto wako umepeleka kusoma wapi? sisi wenzio watoto wetu tumeshapeleka kwenye mashule yote aina mbili, tunajua tunachongea kwa uzoefu.
Ukweli ni kwamba huna hiyo pesa ya kumlipa mwalimu mwenye degree wa Tanzania kukufundishia hiyo nursery yako so obviously you must opt for the chipper Kenyans and as the matter of fact at least there is the availability of art teachers in the market since the government emphasized to prioritize recruitment for science teachers mostly
 
hautakuja kuelewa hili hadi upate akili. kwasasa subiri kwanza mkuu.
Ww ndo hutakaa unielewe, thinking capacity yng ni Gb ww una 0.125kb... halafu elimu ilishanikomboa kitambo na cna mawazo ya kitumwa km ww unaeshupalia kiingereza, ndo mana nmeona nikuache, huu muda wa kubishana nifanye issue zngne coz hutakaa unielewe! Nakunywesha maji kwa diaba, ni wazi yote yatamwagika chini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good mkuu umesomea shule gani? nasi tupeleke wadogo zetu. tumechoka shule za kisani hapa bongo, whereby from 4 student cant express him self in English for only 5minutes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good mkuu umesomea shule gani? nasi tupeleke wadogo zetu. tumechoka shule za kisani hapa bongo, whereby from 4 student cant express him self in English for only 5minutes.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko nyingi tu hapo Dar kuna Feza kuna Loyola kuna Alpha na nyinginezo ukiacha most seminary schools. Huyo jamaa anataka kuleta walimu toka nje halafu permit kisingizio kiingereza! kha si upuuzi huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
plz nakuomba uandike kwa kiswahili unatuaibisha "noises" nk mmmh!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kosa unanjaa kichwani
 
hata sp ya cheaper....maneno mengi elimu ndogo you can't even communicate well. little wonder



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanda vya Cement,refinery oil,sigara vipo vingi tz kwann turuhusu hizo bidhaa from kenya??Maziwa azam anaproduce both skimme na yenye fat,we protect our industries n employment for our people,sijaona umuhimu wa bidhaa zote hzo kuingia from outside(kenya),Kenya hv mo to lose thn tz,wakikataa ngano yetu watabaki na njaa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…