Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba huna hiyo pesa ya kumlipa mwalimu mwenye degree wa Tanzania kukufundishia hiyo nursery yako so obviously you must opt for the chipper Kenyans and as the matter of fact at least there is the availability of art teachers in the market since the government emphasized to prioritize recruitment for science teachers mostlywato
watoto wako umepeleka kusoma wapi? sisi wenzio watoto wetu tumeshapeleka kwenye mashule yote aina mbili, tunajua tunachongea kwa uzoefu.
Ww ndo hutakaa unielewe, thinking capacity yng ni Gb ww una 0.125kb... halafu elimu ilishanikomboa kitambo na cna mawazo ya kitumwa km ww unaeshupalia kiingereza, ndo mana nmeona nikuache, huu muda wa kubishana nifanye issue zngne coz hutakaa unielewe! Nakunywesha maji kwa diaba, ni wazi yote yatamwagika chini.....hautakuja kuelewa hili hadi upate akili. kwasasa subiri kwanza mkuu.
Good mkuu umesomea shule gani? nasi tupeleke wadogo zetu. tumechoka shule za kisani hapa bongo, whereby from 4 student cant express him self in English for only 5minutes.Fanya biashara nyingine mimi sijawahi kufundishwa na Mkenya wala Mganda na kiingereza changu kiko sawa. Unapojenga accent sijui unamaanisha nn? Unapenda Kikuyu na Kalenjin accents kuliko swahili accent. Acha utani...[emoji15] [emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko nyingi tu hapo Dar kuna Feza kuna Loyola kuna Alpha na nyinginezo ukiacha most seminary schools. Huyo jamaa anataka kuleta walimu toka nje halafu permit kisingizio kiingereza! kha si upuuzi huo?Good mkuu umesomea shule gani? nasi tupeleke wadogo zetu. tumechoka shule za kisani hapa bongo, whereby from 4 student cant express him self in English for only 5minutes.
Sent using Jamii Forums mobile app
All those are outdated economic policies have no place in moderns international economies.Protectionism and mercantilism are good policies?
What benefits are you talking about, protecting local producers' inefficiencies?
plz nakuomba uandike kwa kiswahili unatuaibisha "noises" nk mmmh!!!!!!!What efficiency do you have? We are all importers from China , Japan & Europe!
Tz is not a dumping place for your fake products & expired milk. Plz use them by yourselves.
If Kenyans wont stop your noises, we are going to hit you more...this is just an intro..
JMP KAMATA WEZI
Message sent!! Stupid!plz nakuomba uandike kwa kiswahili unatuaibisha "noises" nk mmmh!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kosa unanjaa kichwaniMlidhani JPM ni mchezo, na bado mtalia sn tu.
Tena JPM anza kukagua Nursury schools, Primary Schools, Secondary Schools, na Colleges/Universities uwarudishe wakenya wote kwao.
JPM ata wakong'ota subirini, huyu si JK. Si muli beep? Sasa mnapigiwa pokeeni..
JMP KAMATA WEZI
Utajua ww!! Ebu andika English nikuone!!Sio kosa unanjaa kichwani
hata sp ya cheaper....maneno mengi elimu ndogo you can't even communicate well. little wonderUkweli ni kwamba huna hiyo pesa ya kumlipa mwalimu mwenye degree wa Tanzania kukufundishia hiyo nursery yako so obviously you must opt for the chipper Kenyans and as the matter of fact at least there is the availability of art teachers in the market since the government emphasized to prioritize recruitment for science teachers mostly
[emoji23]hata sp ya cheaper....maneno mengi elimu ndogo you can't even communicate well. little wonder
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mkuu unitajie roughly ada Yao mie nimtumishi wa umma hasa hiyo FezaZiko nyingi tu hapo Dar kuna Feza kuna Loyola kuna Alpha na nyinginezo ukiacha most seminary schools. Huyo jamaa anataka kuleta walimu toka nje halafu permit kisingizio kiingereza! kha si upuuzi huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kajinyonge na cheaper yako 😀😀hata sp ya cheaper....maneno mengi elimu ndogo you can't even communicate well. little wonder
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka kusema ada ya shule ya jamaa anayotaka kuanzisha na walimu wa Kenya itakuwa rahisi?Naomba mkuu unitajie roughly ada Yao mie nimtumishi wa umma hasa hiyo Feza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie lego langu natafuta shule nzuri nayo mudu kifedha shule nyingi hapa dar ni wasani wanasema ni english medium kumbe hamna kituSasa unataka kusema ada ya shule ya jamaa anayotaka kuanzisha na walimu wa Kenya itakuwa rahisi?
Sent using Jamii Forums mobile app