Tanzania bans Kenyan products even after truce

Mahiga alikuja baada ya Amina Mohammed kuja mara mbili tena kwa machozi, soma vizuri uone nani napata maumivu ya sindano.
 
Patamu hapo unapigwa ban halafu na Urais unadondoka anakuja Rais best wa Magu wanasuluhisha mambo Magu anapewa Mic aongee...Uhuru atatafuta pa kujifukia. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i think its high time huu mpaka wa tz na kenya ufungwe kabisa kila mtu abaki tu kivyake...hizi sarakasi zimechosha sasa.kila mmoja atakula hasara yake lakini baada ya miaka kadhaa atakua amezoea na maisha yataendelea
 
malizeni uchaguzi kwanza inawezekanani siasa.. si mnajua ni mashosti au mmesahau?
 
i think its high time huu mpaka wa tz na kenya ufungwe kabisa kila mtu abaki tu kivyake...hizi sarakasi zimechosha sasa.kila mmoja atakula hasara yake lakini baada ya miaka kadhaa atakua amezoea na maisha yataendelea
Tuwaachie Northern Frontier na Uganda border mfanye nao biashara. Museveni lazma aanzishe upya mgogoro wa Migingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mmh? Ulituambia hili kuhusu yule wako mwalimu mkenya:

" yenyewe today i realized how influential i am on you guys! I have noticed how the number of viewers has risen in this thread from 200 to now over 800 just because i have given my opinion on "Mwagi" that i still stand firmly on! I know i am that bitter pill to swallow! most followed bad seed creature by Kenyans in this forum :hail:! BTW i have just remembered one chemistry teacher from Kenya at my o levels that could not pronounce word "vapour"! he usually used to say "fapour" at struggle and accompanied with a liter of saliva oozing out of his protruding teeth we used to come with umbrellas to cover ourselves from "rain"! He must have been a kalenjin!"

Uhuru Kenyatta Angara US Summit

Comment #22
 
Tanzania is much flexible to change its business more to Rwanda, Mozambique, Zambiano ,DRC, Malawi, & so

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna watanzania wengi tu wako Kenya na wana Fanya kazi au biashara au wanasoma anataka na wao wafukuzwe? Tuache roho za kimaskini hazitufikishi popote.
 
Kwa hio na nyie KENYA mmeanza kujiweka level za USA&EU mnaweza kuiwekea TZ vikwazo,hahah maajabu matupu haya

Tombatomba idevice Model TH 45

Mtawekewa vikwazo vya nini na nyinyi maskini hohehahe?
You have nothing to lose.
 
Kuna watanzania wengi tu wako Kenya na wana Fanya kazi au biashara au wanasoma anataka na wao wafukuzwe? Tuache roho za kimaskini hazitufikishi popote.
Fukuza wote!! Yaani Watz 40 kwa Wakenya 4000 una ona akili? Warudi wachukue hizi za Wakenya 4000 tutakao fukuza.

JPM KAMATA WEZI
 
Mbona walimu wa English language wazuri tupo tu hapa hapa tz kwa JPM nipm tunegotiate usikariri vya nje ndo bora utakuwa ni mtumwa wa kifikra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vyema kutengana na kuwekeana vizuizi baina yetu, ila kama hiyo ndiyo suluhisho pekee hakuna jinsi, sio lazima kutegemeana, atakayeathirika atamfuata mwenzake na atawekewa masharti juu ya namna gani atashirikiana naye, dunia iko hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri umaskini wa Mali kuliko wa akili.
Huu upuuzi wako ndio wakenya wakekuwa waki take advantage!!

Kuku wengine bhana!! Mitandaoni hujidai wana akili ili hali hata vyeti vyake vyote Div One huwa anaiskia tu kwa wengine!!

JPM KAMATA WEZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…