Tanzania bans Kenyan products even after truce

Hujakaa.Kenya ukajua jinsi gani watanzania wanavyofanya biashara bila bughudha. Ni kuomba viongozi wawe na wisdom
Umenikoti vibaya, na pengine umatukoti watz wote vibaya, na hapo ndiko tunapata mashaka na viwango vyenu vya elimu na ubora wa elimu mnayoihubiri kila mara, wagumu sana kuelewa. Hakuna mtz apendaye mizozo, ila kwenye haki lazima tuisimamie hata bila kujali kwa kufanya hivyo tutaathirikaje, kwetu Utu Kwanza na si vinginevyo. Utu ni usawa, ukivunja usawa hauko nasi tena.

Tumewaachia, kama majirani kwa miongo kadhaa kulichezea soko la Tz, mmefanya hivyo hadi mmevimbilwa sasa mnaleta nyodo, hao watz warudi tu, watafanya biashara ya mahindi kupeleka Kenya, haitakuwa na vikwazo hiyo. Utani, ila mara zote Kenya ndio huanza kuleta chokochoko tangu enzi za Mwalimu. Soma historia, usiishi, bali usiisahau kesho inaweza ikakuokoa kwa kukutahadharisha jambo.

Hatuiishi historia bali kamwe hatutaisahau kabisa. Ndo inayotuwezesha kwenda kwa tahadhari ktk yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi iliyofanikiwa iliyokataa kufanya biashara na nchi zingine. T.Z msipobadilisha mawazo na tabia mtabakia kuwa LDC (least developed country) milele. Hata Uganda watawapita
Itawaathiri nini wakenya kama hilo litatukia? Kuwa mkweli hapa, nani anayemuhofia mwenzake kiuchumi na kisiasa kati ya Tz na Kenya? Tz itakua pasi na mafungamano na Kenya, soko lenu ni dogo sanasana labda la chakula tu, tuko tunawekeza kwenye viwanda nanyi mnavyo kiasi, soko letu ni ndani na mataifa mengine nje ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Protectionism and mercantilism are good policies?

What benefits are you talking about, protecting local producers' inefficiencies?
Oh yeah, your question reminds me of the wheat flour saga. If I remember correctly KE banned wheat flour from TZ to protect it's local producers.
 
Naona kisu kimefika kwenye mfupa.. Wakenya mnapenda kuanzisha ligi ambayo hamuiwezi
 
Nani alianzisha hii saga? Was it TZ or KE? Jibu unalo, usikimbie kivuli chako mwenyewe.

Sasa mbona msikinukishe tuone cheche mapema badala ya kumtuma waziri aje kubembeleza halafu tukiachia nyie mnagoma kuachia. Inafaa kama vipi mukiamua ni mwendo wa kunyukana kibiashara basi twende tu mbele kwa mbele. Mwaka wa 1977 tulifungiana mipaka kiasi kwamba hata panya hakuruhusiwa kupita, na pande zote mbili ziliendelea na maisha yao ya kawaida bila tatizo.

Nafikiri mumebembelezwa sana na binafsi nalaumu viongozi wetu maana wanakua na uvumilivu wa kijinga. Hata kwenye biashara, kuna aina ya mteja ambaye huwa inabidi kuachana naye hata kama ananunua sana kutoka kwako maana anaweza kuwa mtu wa majungu na visirani kila wakati anataka abembelezwe kama mtoto.
 


Mi ni mtz kamili, naishi Kenya Niko comfortable hakuna anayenibughudhi
 
Hizi ni siasa za kipuuzi sana, hii ni moja ya mbinu inayotumika kuwashawishi wakenya wampigie kura Raila ili mahusiano kati ya inchi hizi mbili yaboreke.Binafsi naamini NASA ina mjumuiko wa viongozi wenye integrity na uwezo wa kuwapa wakenya mabadiliko ya kiuongozi na utawala,ila uhusiano wa Raila na JPM unatia mashaka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who said it is not from Tz, where is it from, wheat inazalishwa sana Tanzania

Who said it is not from Tz, where is it from, kamanda, wheat inazalishwa sana Tanzania. I know many places karibu na borders na Kenya wanazalisha hii bidhaa quantity mob.

Ndio, lakini msimu uliopita mavuno yalikuwa haba mno, hamkuwa na ya kutosha ya kutuuzia, kama tu mahindi.

Sasa hawa wafanyi biashara wa Tz ndio wakaanza kuagiza kutoka nje, tena kuyauza Kenya.
 
kitu usichoelewa ni kwamba shule zote hizo ulizozitaja haukosi mganda au mkenya. pia, tufike kipindi tukubali watz hawajui kiingereza, mtu asiyejua kuongea kiingereza fasaha hawezi kukufundishia mtoto wako akaongea kiingereza fasaha.
Ni kweli kabisa sisi hatujui kingereza.
Je wachina wanajua kingereza? Na wajapani? Warusi?
Fool.
 
No country has ever developed by discrimination ,Kenyans have invested heavenly in Tanzania they should be appreciated instead of being fought .Nevertheless Kenya's spirit is strong ,and will win at the end
 
No country has ever developed by discrimination ,Kenyans have invested heavenly in Tanzania they should be appreciated instead of being fought .Nevertheless Kenya's spirit is strong ,and will win at the end

Investment gani? Kenyans...same kenyans wish well Tanzania? Au mnataka kuja kuwa wakoloni weusi maana hamna ardhi mnaitolea macho yetu?
 
Kenya's company should exit Tanzania's market as soon as possible so that they invest elsewhere ,where market is good for business
 
Zile
The wheat was not from Tanzania.

Vipi KQ is it from Kenya?

Kenya Airways Ltd., more commonly known as Kenya Airways, is the flag carrier of Kenya.[4] The company was founded in 1977, after the dissolution of East African Airways. The carrier's head office is located in Embakasi, Nairobi,[5] with its hub at Jomo Kenyatta International Airport.[6]

The airline was wholly owned by the Government of Kenya until April 1995, and it was privatised in 1996, becoming the first African flag carrier to successfully do so.[7] Kenya Airways is currently a public-private partnership. The largest shareholder is the Government of Kenya (29.8.%), followed by KLM, which has a 26.73% stake in the company. The rest of the shares are held by private owners; shares are traded on the Nairobi Stock Exchange, the Dar es Salaam Stock Exchange, and the Uganda Securities Exchange.[7][8]
 
Ni kweli kabisa sisi hatujui kingereza.
Je wachina wanajua kingereza? Na wajapani? Warusi?
Fool.
Kingereza ni lugha muhimu sana duniani, ndio lugha ya biashara na siasa. Hizo nchi zote ambazo umetaja hapo zina watu wengi tu ambao wanazungumza lugha kingereza. Nchi hizo zote hutumia lugha ya kiingereza katika negotiations na mikataba.

Wachina wengi imebainika wanapendelea kupeleka wanao kwenye shule zinazofunza kiingereza.
When in China, u are more likely to meet an English speaking Chinese than say French, leave alone Kiswahili.

The same is the case in Russia, Japan na hizo nchi zote umetaja.

Kwa hivyo komeni hivi visingizio eti kingereza haifai. Hizo nchi zinatumia kingereza katika utemangamano wao na nchi zingine.
Kiswahili tutakiendeleza tu, lakini pia tujifunze hili lugha ya kimataifa.
Sasa Mrusi akija Dar, asijue kingereza wala kiswahili, nanyi pia hamjui kingereza wala kirusi, sasa itakuwaje?
 
Huyu mwenzako ana ubishi usio na tija. Niko na taarifa kuwa waalimu wa kenya pia ni wachapa kazi pia, ni kweli?
Mkuu hawa walimu wa kenya ni shida wapo vizuri sana asikwambie mtu.. kuna shule moja ya sekondari ipo kilimanjaro wanafunzi wa form 4 wakikaribia kufanya mitihani headmaster huenda kuwachukua walimu 2 wa chemistry kwaajili ya practical miezi 4 kabla ya mitihani.... sijui anatoa wapi hela ila sasa hvi kastaafu...

Shule karibia zote za private za english medium zina walimu kutoka kenya....

Kuna mzee mmoja alimpeleka mwanae shule ya private kenya nafasi darasani alikuwa anashika nafasi ya 10 akaja akamrudisha bongo darasani anashika nafari ya 1
 


The largest shareholder is the Government of Kenya (29.8.%), followed by KLM , which has a 26.73% stake in the company. The rest of the shares are held by private owners; shares are traded on the Nairobi Stock Exchange , the Dar es Salaam Stock Exchange , and the Uganda Securities Exchange .[7][8]

KLM is a minority shareholder, the govt owns about 30% of the shares, while the rest of the shares is owned by the private investors, so Kenya owns the company by more than 70%.

This is a Kenyan company, its having foreign shareholders does not make it less of a Kenyan company.

It is only the befuddled idiots who do not understand how commerce works who would argue like that.
 
Nafikiri unajidanganya. Cut story short, please provide us the list of shareholders. If any, why the principle is applied in only one-way handshake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…