ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Umenikoti vibaya, na pengine umatukoti watz wote vibaya, na hapo ndiko tunapata mashaka na viwango vyenu vya elimu na ubora wa elimu mnayoihubiri kila mara, wagumu sana kuelewa. Hakuna mtz apendaye mizozo, ila kwenye haki lazima tuisimamie hata bila kujali kwa kufanya hivyo tutaathirikaje, kwetu Utu Kwanza na si vinginevyo. Utu ni usawa, ukivunja usawa hauko nasi tena.Hujakaa.Kenya ukajua jinsi gani watanzania wanavyofanya biashara bila bughudha. Ni kuomba viongozi wawe na wisdom
Tumewaachia, kama majirani kwa miongo kadhaa kulichezea soko la Tz, mmefanya hivyo hadi mmevimbilwa sasa mnaleta nyodo, hao watz warudi tu, watafanya biashara ya mahindi kupeleka Kenya, haitakuwa na vikwazo hiyo. Utani, ila mara zote Kenya ndio huanza kuleta chokochoko tangu enzi za Mwalimu. Soma historia, usiishi, bali usiisahau kesho inaweza ikakuokoa kwa kukutahadharisha jambo.
Hatuiishi historia bali kamwe hatutaisahau kabisa. Ndo inayotuwezesha kwenda kwa tahadhari ktk yote.
Sent using Jamii Forums mobile app