ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Kitakachofuata ni kuzuia magari ya Kenya yasikanyage aridhi ya Tanzania, tunataka limao na mchele vipande hadi wananchi waandamane dadek. Tutaheshimiana tu. Tunataka limao moja itoke 20ksh hadi 200ksh. Nyie ni maskini tena mnaishi nyumba ya vioo, ni wa kutuzingua sisi?Hehehe hako kamzee ka chato ni moto wakuotewa mbali