Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".
[emoji38] [emoji38] sisi tunajua namna ya kumpa kazi kutangaza, tofauti na aliyojipa ya kututangazia corona.

subiri utajua hujui.
 
kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".

Alisema tunaficha data za ugonjwa. Bhas atulie hadi data zitakapokuwa sawa... sisi tunatumia asilimia moja ya akili zetu ila ninyi ni empty head kabisa hakuna kitu maana mnaimbishwa na viongozi wenu tu kama makasuku. Tunaficha data wakati watoto wako mashuleni kuanzia nursery hadi uni..Simba day uwanja umejaa na bado harakati za kisiasa zinazoendelea watu wanajiachia tu bila masks bila social distance.

Nyie huko bado mnakazana na chupi za mdomoni tu na kuimba nyimbo za mabwana zenu Tz iko covid media zinafichaa..pathetic...bure kabisa ninyi.

Sasa ambia jayden aitishe press aseme hiyo maneno kuwa covid imeisha Bongo, si hivyo tu? Au iko maneno nyingine..tunamsubiri..laa sivyo tunaendelea kuwachimbia kaburi..and i can tell you litakuwa refu sanaaaa.
 
Watalii watakuja direct Tanzania kwani mtalii ili aje Tanzania lazima apite Nairobi
sasa hata Tanzania yenyewe haijulikani. mtalii lazma apitie Nairobi kwanza ajihisi bado yuko katika ulimwengu wa kwanza na kukaribishwa kwa chai kisha kupewa mahala pa kulala. baadae ndio anavushwa huko msituni kuona wanyama kama wewe kisha anarudishwa Kenya haraka upesi kabla kupata ugonjwa kama malaria na mengineyo ndio arudi kwao.
 
Alisema tunaficha data za ugonjwa. Bhas atulie hadi data zitakapokuwa sawa... sisi tunatumia asilimia moja ya akili zetu ila ninyi ni empty head kabisa hakuna kitu maana mnaimbishwa na viongozi wenu tu kama makasuku. Tunaficha data wakati watoto wako mashuleni kuanzia nursery hadi uni..Simba day uwanja umejaa na bado harakati za kisiasa zinazoendelea watu wanajiachia tu bila masks bila social distance.

Nyie huko bado mnakazana na chupi za mdomoni tu na kuimba nyimbo za mabwana zenu Tz iko covid media zinafichaa..pathetic...bure kabisa ninyi.

Sasa ambia jayden aitishe press aseme hiyo maneno kuwa covid imeisha bongo..si hivyo tu? Au iko maneno nyingine..tunamsubiri..laa sivyo tunaendelea kuwachimbia kaburi..and i can tell you litakuwa refu sanaaaa..
duh!
we kweli ni chizi
 
duh!
we kweli ni chizi
Mtaendela kusoma data hadi lini .

Maana kila siku zinaongeza

Hakuna dawa Wala chanjo .

Mmepanga kuendelea kusoma data ili mje mgundue Nini[emoji15]

Mnaishi maisha ya ajabu ajabu Kama kuku kutwa kufungiwa ndani .

Uchumi wenu unaporomoka .

Mnakorofishana na majirani .

Mara wengine waibe pesa za msaada za kupambana na ugonjwa

Hilo liinchi lenu limeoza sana
 
Ndo kenya
mkuu, mtalii sio lazima awe ngozi nyeupe. hata mimi naweza kuwa mtalii katika nchi yenu masikini na kulipa hela ndefu na kukusababishia wewe na wenzako kula, kunywa na kuenda chooni. tumia akili kidogo
 
kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".
Sasa tutumie asilimia ngapi kubishana na nyang'au?.basi tutaongeza moja kama mmekuwa kimawazo,.

In the name of marijuana,(freedom k)
 
mkuu, mtalii sio lazima awe ngozi nyeupe. hata mimi naweza kuwa mtalii katika nchi yenu masikini na kulipa hela ndefu na kukusababishia wewe na wenzako kula, kunywa na kuenda chooni. tumia akili kidogo
naona sindano imegusa mfupa, yaani li nchi lenu linalotegemea chakula cha misaada ndo unaropoka namna hii?
 
Raia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
 
choko choko muanze nyie alafu mseme tunawaonea wivu, huo wivu tunawaonea watu wanaokufa na njaa wakitegemea msaada wa chakula kwa mabwana zao, nyie pambaneni na hali zenu maana mmeyataka wenyewe
 
Back
Top Bottom