Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Alokwambia tunategemea wataliii kutoka Kenya nani?huyu mzee atakufa na stress bure tu. hana akili kabisa. sasa dar is slum na zanzi bar si zitakuwa upungufu wa watalii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alokwambia tunategemea wataliii kutoka Kenya nani?huyu mzee atakufa na stress bure tu. hana akili kabisa. sasa dar is slum na zanzi bar si zitakuwa upungufu wa watalii?
[emoji38] [emoji38] sisi tunajua namna ya kumpa kazi kutangaza, tofauti na aliyojipa ya kututangazia corona.kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".
kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".
sasa hata Tanzania yenyewe haijulikani. mtalii lazma apitie Nairobi kwanza ajihisi bado yuko katika ulimwengu wa kwanza na kukaribishwa kwa chai kisha kupewa mahala pa kulala. baadae ndio anavushwa huko msituni kuona wanyama kama wewe kisha anarudishwa Kenya haraka upesi kabla kupata ugonjwa kama malaria na mengineyo ndio arudi kwao.Watalii watakuja direct Tanzania kwani mtalii ili aje Tanzania lazima apite Nairobi
duh!Alisema tunaficha data za ugonjwa. Bhas atulie hadi data zitakapokuwa sawa... sisi tunatumia asilimia moja ya akili zetu ila ninyi ni empty head kabisa hakuna kitu maana mnaimbishwa na viongozi wenu tu kama makasuku. Tunaficha data wakati watoto wako mashuleni kuanzia nursery hadi uni..Simba day uwanja umejaa na bado harakati za kisiasa zinazoendelea watu wanajiachia tu bila masks bila social distance.
Nyie huko bado mnakazana na chupi za mdomoni tu na kuimba nyimbo za mabwana zenu Tz iko covid media zinafichaa..pathetic...bure kabisa ninyi.
Sasa ambia jayden aitishe press aseme hiyo maneno kuwa covid imeisha bongo..si hivyo tu? Au iko maneno nyingine..tunamsubiri..laa sivyo tunaendelea kuwachimbia kaburi..and i can tell you litakuwa refu sanaaaa..
sijakuelewa. kutoka kunya kivipi? chooni au?Alokwambia tunategemea wataliii kutoka kunya nani
Umejuaje Kama Mimi Ni mlalahoi[emoji2]mlala hoi kama wewe na wenzako ndio mutaumia
Ndo kenyasijakuelewa. kutoka kunya kivipi? chooni au?
duh!
we kweli ni chizi
Mtaendela kusoma data hadi lini .duh!
we kweli ni chizi
kwa kauli zako tu nimejua wewe ni mtu wa aina ganiUmejuaje Kama Mimi Ni mlalahoi[emoji2]
Nyie huko huwa mnawashwa washwa jamaa hacheki na nyie anawazabua tu
Kawakomoa nyie mnaotafuta pesa kwa kuwaleta wataliihuyu mzee atakufa na stress bure tu. hana akili kabisa. sasa dar is slum na zanzi bar si zitakuwa upungufu wa watalii?
Vituko nyie, watanzania wana Corona mfungie vyetu nyie tuwasujudie ummeula wa chuya [emoji2][emoji2][emoji2]aisee, Magu ni kituko kweli kweli!
mkuu, mtalii sio lazima awe ngozi nyeupe. hata mimi naweza kuwa mtalii katika nchi yenu masikini na kulipa hela ndefu na kukusababishia wewe na wenzako kula, kunywa na kuenda chooni. tumia akili kidogoNdo kenya
na hatofauluKawakomoa nyie mnaotafuta pesa kwa kuwaleta watalii
Mm nasubiri Katazo la raia tu [emoji3][emoji3][emoji3]Hatua zingine zaidi za kuiadhibu Kenya zitafuata, stay tuned.
Sasa tutumie asilimia ngapi kubishana na nyang'au?.basi tutaongeza moja kama mmekuwa kimawazo,.kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".
naona sindano imegusa mfupa, yaani li nchi lenu linalotegemea chakula cha misaada ndo unaropoka namna hii?mkuu, mtalii sio lazima awe ngozi nyeupe. hata mimi naweza kuwa mtalii katika nchi yenu masikini na kulipa hela ndefu na kukusababishia wewe na wenzako kula, kunywa na kuenda chooni. tumia akili kidogo
choko choko muanze nyie alafu mseme tunawaonea wivu, huo wivu tunawaonea watu wanaokufa na njaa wakitegemea msaada wa chakula kwa mabwana zao, nyie pambaneni na hali zenu maana mmeyataka wenyeweRaia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.