Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Hehehe hako kamzee ka chato ni moto wakuotewa mbali
Kitakachofuata ni kuzuia magari ya Kenya yasikanyage aridhi ya Tanzania, tunataka limao na mchele vipande hadi wananchi waandamane dadek. Tutaheshimiana tu. Tunataka limao moja itoke 20ksh hadi 200ksh. Nyie ni maskini tena mnaishi nyumba ya vioo, ni wa kutuzingua sisi?
 
Kirusi kinawatafuna ile mbaya....kila cju ni mwendo wa carfew for 30 days, lockdown, no kuzulura, no job, no money, no food.
 
nyingi hizo huleta watalii tzee soo poaa tu[emoji23][emoji1360]..wataishia maasai mara na kisha mombasaaa!!!
Hao watalii watapungua kusafiri na KQ Kwa kua wanajua kabisa hawatoweza ingia Tz watawapata ambao walipanga kwenda Kenya tu na kurudi Kwa maana hiyo hata safari za huko ulaya zitaathirika na kuchukua nafac Ethiopia na. Rwanda air
 
Na washa fanya retrenchment kwa KQ
 
nyingi hizo huleta watalii tzee soo poaa tu[emoji23][emoji1360]..wataishia maasai mara na kisha mombasaaa!!!
Haiwezi kupita Wiki mbili lazima Kenya itasalimu amri, kinyume na hapo kuna uwezekano mkubwa tukazuia magari ya mizigo kuingia toka Kenya
 
Inaonyesha ni jinsi gani walivyo wapumbavu.
 
Aseee... yani hoteli za kenya ndio zinakwenda kukaliwa na popo hivyo...watalii wengi wanaofika kenya lazima wapite Bongo. Sasa kwa hali hii naona watakuja direct.

Mpaka uhuru aitishe press aseme Tanzania ni safe hakuna covid ndio tuwasamehe..atutangazie hadi kwa mabeberu huko kuwa Tz its safe. Kama walivyoleta propaganda uchwara kuwa tunaficha ugonjwa. Akanushe aseme tuko safe.
 
kwanini awatangazie!?!? kwani nyinyi ni mabubu? mbona musipambane kivyenu na Kenya ipambane kivyake bila kulaumiana. hivi sasa ndio napata picha kamili kuwa "Wabongo hutumia asilimia moja ya akili zao".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…