Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Sasa ndio mnataka tufikie huko?
 
Sasa ndio mnataka tufikie huko?

Afya yetu ni muhimu, kama kulinda afya yetu tuko tayari kufika hata kuzimu, leo hii duniani mataifa yamedhihirisha yanavyotanguliza afya ya wananchi wake, tuliona Marekani wakifungiana na Uingereza, hamna cha undugu wala uchumi, afya kwanza. Pia tumeona waliojichokea kwa umaskini na kushindwa kuendelea mapambano dhidi ya corona na kuachia eti wananchi ndio wajihangaikie wenyewe.
 
Hapo ndipo wakenya hua hamna akili yani mnatulazimisha kua na ugonjwa wakati hakuna hata mgonjwa mmoja kwenye mahospital hakuna vifo vilivyo ongezeka ila kwa wivu wenu tu mnafosi tuwe na ugonjwa wakat huo mmesahau Yale ma misaada mliyo pokea yalikua na maradhi ndio yanawaangamiza sisi tulipiga moto pambaneni na hali zenu huko
 
Hatuwalazimishi wala hatujali maamuzi yenu ya kujichokea huko, ila tunasema kila mmoja wenu anayetaka kuja huku lazima apimwe, na hapo ndio ugomvi ulipo baina yetu, mnang'ang'ania mruhusiwe eti kisa mlijiaminisha kwenu hakuna corona.
 
Tatizo hapa ni moja tu, kama mnahisi Tanzania kuna Corona, kwanini mliomba turuhusu ndege zenu kuja Tanzania?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hatuwalazimishi wala hatujali maamuzi yenu ya kujichokea huko, ila tunasema kila mmoja wenu anayetaka kuja huku lazima apimwe, na hapo ndio ugomvi ulipo baina yetu, mnang'ang'ania mruhusiwe eti kisa mlijiaminisha kwenu hakuna corona.
Sisi hatulazimishi kuingia kwenu kwa sababu hakuna kitu cha muhimu tunacho hitaji kutoka kwenu
 
Subiri ya Brazil yaishe ndio utajua hujui
 
Subiri ya Brazil yaishe ndio utajua hujui

Ya Uganda pia yako na isitoshe tupo kwenye hatua muhimu sana kwenye ukulima wa unyunyizaji, kwa chuki zenu mumewakosesha wakulima wenu fursa muhimu za wao kutoka kimasomaso.
 
Tena uanze kufunga mizigo, kazi kubwa mnayoifanya huku ni kuwa mawakala wa wazungu.
 
Kwa nini siyo Uganda, Rwanda, Burundi iwe Kenya tuu, JPM kuna baadhi ya mambo huwa nampinga ila kakabiliana vizuri na ujanja ujanja wa Kenya
 
Nadhani hana legitimacy wa kuwazungumzia watanzania kwa ujumla wao, ukisema kwa nafsi yako ni sawa. Swala la kwa nini hatujawa na mabadiliko ya kiungozi tokea uhuru siyo kutokana na akili bali kukosa uelewa wa kutosha.
Kwa baadhi ya mambo ambayo CCM ilifanya miaka ya nyuma ilipaswa iwe imetoka madarakani muda mrefu.
JPM kafanya vizuri kwenye baadhi ya mambo ila bado ana maeneo anapaswa kubadilika na kufanya marekebisho pia.
Chaguzi wa 1995 na 2015 zina mengi ya kusema, and I can guarantee ingekuwa Kenya au nchi nyingine ambayo watu wake ni active vizuri ingekuwa ni hali tofauti.
 
Kwa nini siyo Uganda, Rwanda, Burundi iwe Kenya tuu, JPM kuna baadhi ya mambo huwa nampinga ila kakabiliana vizuri na ujanja ujanja wa Kenya

Uganda na Rwanda huwa hampeleki pua huko maana hawatanii wale, kwanza Museveni ameweka jeshi mpakani ukithubutu ujinga unachezea kichura.
Sisi ndio huwa tunawaendekeza, kama kuna kitu rais wangu amenifurahisha nacho, ni hili la kuonyesha msimamo na kutoachia muingie huku bila kupimwa kisa mumezuia mindege.
Kwa hili tutamkumbuka sana kama rais aliyetanguliza afya yetu.
Kinachowapa hasira, chuki na wivu ni hilo la kununua mindege cash money na bado mnaendesha shirika kwa hasara.
 
Acha uongo.

Eti tuliwachoka "tukafungia". Hamjawahi kufungia.

Ni Nyerere alifungia kuanzia Ndege na Borders zote almost or more than 10 years. Hii ipo kwenye Essay ya Prof Ali Mazrui.

Acha uongo-uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…