Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

Mbona sio mara ya kwanza kufungiana na nyie, kuna kipindi tuliwachoka tukafungiana kila mtu akakaa kwake tena ikawa kama korea Kaskazini na Kusini, hamna hata panya aliruhusiwa kupita.
Kama mahindi tunanunua kwa hela zetu maana tunazo, tena tunaagiza hata kutoka Brazil.
Sasa ndio mnataka tufikie huko?
 
Sasa ndio mnataka tufikie huko?

Afya yetu ni muhimu, kama kulinda afya yetu tuko tayari kufika hata kuzimu, leo hii duniani mataifa yamedhihirisha yanavyotanguliza afya ya wananchi wake, tuliona Marekani wakifungiana na Uingereza, hamna cha undugu wala uchumi, afya kwanza. Pia tumeona waliojichokea kwa umaskini na kushindwa kuendelea mapambano dhidi ya corona na kuachia eti wananchi ndio wajihangaikie wenyewe.
 
Hapo ndipo wakenya hua hamna akili yani mnatulazimisha kua na ugonjwa wakati hakuna hata mgonjwa mmoja kwenye mahospital hakuna vifo vilivyo ongezeka ila kwa wivu wenu tu mnafosi tuwe na ugonjwa wakat huo mmesahau Yale ma misaada mliyo pokea yalikua na maradhi ndio yanawaangamiza sisi tulipiga moto pambaneni na hali zenu huko
 
Hatuwalazimishi wala hatujali maamuzi yenu ya kujichokea huko, ila tunasema kila mmoja wenu anayetaka kuja huku lazima apimwe, na hapo ndio ugomvi ulipo baina yetu, mnang'ang'ania mruhusiwe eti kisa mlijiaminisha kwenu hakuna corona.
 
Tatizo hapa ni moja tu, kama mnahisi Tanzania kuna Corona, kwanini mliomba turuhusu ndege zenu kuja Tanzania?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hatuwalazimishi wala hatujali maamuzi yenu ya kujichokea huko, ila tunasema kila mmoja wenu anayetaka kuja huku lazima apimwe, na hapo ndio ugomvi ulipo baina yetu, mnang'ang'ania mruhusiwe eti kisa mlijiaminisha kwenu hakuna corona.
Sisi hatulazimishi kuingia kwenu kwa sababu hakuna kitu cha muhimu tunacho hitaji kutoka kwenu
 
Mbona sio mara ya kwanza kufungiana na nyie, kuna kipindi tuliwachoka tukafungiana kila mtu akakaa kwake tena ikawa kama korea Kaskazini na Kusini, hamna hata panya aliruhusiwa kupita.
Kama mahindi tunanunua kwa hela zetu maana tunazo, tena tunaagiza hata kutoka Brazil.
Subiri ya Brazil yaishe ndio utajua hujui
 
Subiri ya Brazil yaishe ndio utajua hujui

Ya Uganda pia yako na isitoshe tupo kwenye hatua muhimu sana kwenye ukulima wa unyunyizaji, kwa chuki zenu mumewakosesha wakulima wenu fursa muhimu za wao kutoka kimasomaso.
 
Tena uanze kufunga mizigo, kazi kubwa mnayoifanya huku ni kuwa mawakala wa wazungu.
Raia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
 
Kwa nini siyo Uganda, Rwanda, Burundi iwe Kenya tuu, JPM kuna baadhi ya mambo huwa nampinga ila kakabiliana vizuri na ujanja ujanja wa Kenya
Kipindi kama hiki cha uchaguzi 'system' iliyo madarakani huwa inapanic sana na kuparamia kila kitu, chochote kitakachosaidia kurejesha uzalendo wa watu wake ikiwemo hata kuibua chuki dhidi ya majirani. Haya hutendeka kote duniani, hata Marekani mijadala ya ukuta wao dhidi ya Mexico huibuka kipindi cha uchaguzi.
Nategemea makubwa kuibuka kwa siku zijazo maana uchaguzi wenu wa kipindi hiki utakua na ushindani mkali sana ambao haujatokea siku nyingine huko, ndio mara ya kwanza mnapata mgombea wa upinzani aliyejasiri na anazingua kupita maelezo, niliona jamaa alivyochizi hadi kaweka mapingamizi dhidi ya mgombea wa CCM.
Hapo lazima mpanic sana......
 
Nadhani hana legitimacy wa kuwazungumzia watanzania kwa ujumla wao, ukisema kwa nafsi yako ni sawa. Swala la kwa nini hatujawa na mabadiliko ya kiungozi tokea uhuru siyo kutokana na akili bali kukosa uelewa wa kutosha.
Kwa baadhi ya mambo ambayo CCM ilifanya miaka ya nyuma ilipaswa iwe imetoka madarakani muda mrefu.
JPM kafanya vizuri kwenye baadhi ya mambo ila bado ana maeneo anapaswa kubadilika na kufanya marekebisho pia.
Chaguzi wa 1995 na 2015 zina mengi ya kusema, and I can guarantee ingekuwa Kenya au nchi nyingine ambayo watu wake ni active vizuri ingekuwa ni hali tofauti.
Umeona unavyoropoka as if hujui chochote kuhusu Tanzanian politics, nani aliyekuambia kuna mwanasiasa anaweza mtoa Magu kwenye kiti? Hakuna uchaguzi ulikuwa moto km wa 2015 na km upinzani ulishindwa kuitoa ccm mwaka 2015 ambapo madudu yalikuwa mengi hawataweza kwa miala ya hv karibuni, Tz co kenya mtanzania co mkenya mtanzania anatumia akili zote za kuambiwa anachanganya na zake, Lisu yuko vzr upstairs lkn hatoshi kwa Magu hata yeye mwenyewe anajua hilo yn lisu hawezi kuongoza nchi wkt Magu yupo, na co Lisu tu kiongozi yeyote Afrika hii angekuwa na bahati mby sn km angelizaliwa Tz ya ss cz baba wa Afrika yupo Tz.

Unawezaje kumpa mtu ajaribu kazi wakati tayari una mfanyakazi ambaye ni mzoefu na anapatikana kwa pesa ndogo? Km utakubali hilo basi wewe utakuwa umerogwa.

Yani tumpe nchi Lisu ili agundue nn wakati mambo yote aliyokuwa anayaimba miaka yote imefanyika ndani ya miaka mitano na yapo mengine hakuwahi kuyaota wala kuyagusia lkn yamefanyika kwa muda mfupi, ss unadhani cc ni wajinga eti tuiharibu nchi yetu tuliyotumia nguvu nyingi kuifikisha hapa kwa kelele za wasiojitambua mfano wako? Umechelewa sana na ofcz reaction unazopata kupitia kwa WaTz wa humu walio wengi should tell you something unique about our vision kwmb tumemuelewa sn Magu so msishangae hata baada ya muda wake tungamuongeza 10 nyingine ili azidi kuwalaza njaa na kuwapumulia matakoni [emoji3][emoji3]
 
Kwa nini siyo Uganda, Rwanda, Burundi iwe Kenya tuu, JPM kuna baadhi ya mambo huwa nampinga ila kakabiliana vizuri na ujanja ujanja wa Kenya

Uganda na Rwanda huwa hampeleki pua huko maana hawatanii wale, kwanza Museveni ameweka jeshi mpakani ukithubutu ujinga unachezea kichura.
Sisi ndio huwa tunawaendekeza, kama kuna kitu rais wangu amenifurahisha nacho, ni hili la kuonyesha msimamo na kutoachia muingie huku bila kupimwa kisa mumezuia mindege.
Kwa hili tutamkumbuka sana kama rais aliyetanguliza afya yetu.
Kinachowapa hasira, chuki na wivu ni hilo la kununua mindege cash money na bado mnaendesha shirika kwa hasara.
 
Mbona sio mara ya kwanza kufungiana na nyie, kuna kipindi tuliwachoka tukafungiana kila mtu akakaa kwake tena ikawa kama korea Kaskazini na Kusini, hamna hata panya aliruhusiwa kupita.
Kama mahindi tunanunua kwa hela zetu maana tunazo, tena tunaagiza hata kutoka Brazil.

Acha uongo.

Eti tuliwachoka "tukafungia". Hamjawahi kufungia.

Ni Nyerere alifungia kuanzia Ndege na Borders zote almost or more than 10 years. Hii ipo kwenye Essay ya Prof Ali Mazrui.

Acha uongo-uongo.
 
Back
Top Bottom