hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza kumaliza tatizo la ajali Tanzania miaka mitano mpaka kumi ijayo kama serikali ikiamua
1. Gari lolote linapo lipotiwa ni bovu: polisi waende eneo husika na kuchukua kipaombele Cha kuongea na miliki kuleta gari jingine zima lile bovu lirudi garage: ziko kampuni zina gari hapa Tanzania wao hujali fedha na sio utu wa watu wanao panda chombo Chao Cha usafirishaji iwe kwenye daladala au basi za mikoa ni wajibu wa polisi wa barabara wanapopewa taarifa na abiria wafike eneo la tukio na kumwambia mmiliki wachombo alete gari mpya isiyo na matatzo katika mifumo mbali mbali.ila kama tutaendelea kuwaacha wamiliki wa gari na gari zao mbovu waje kutengeneza mafundi huku abiria tukisubiria ipone tupande hasa Kwa basi za mikoa tutaendelea kufa kama kuku gari haitengenezi haraka haraka kama kumsukuma mlevi
2. Barabara zote kubwa za mikoa ziwe na kamelazinazo fanya kazi vizuri na ZeNye nguvu ya kuona tukio Kwa umakini:ifike magari kama tunataka kupunguza ajali barabarani hasa hizi za mikoani tufunge kamela zinazoona vizuri wale wanao vunja sheria na wachukulie hatu zitakazo wauma ili kesho wafuate sheria za barabarani kuepusha ajali zinazo epukika.
3. Elimu za mafunzo ya udereva yapunguzwe bei tusiwe na watu wanao shindwa kusomea sheria za barabarani: Kuna ajali hutokana na madereva baadhi kushindwa kutafsili sheria za barabarani hasa Kwa wale ambao elimu ya udereva hawakupitia kabisa matokeo yake wanafanya makosa ambayo wao huona Niya kawaida ila mwisho wa siku husababisha ajali kubwa na kuua watu wengi.
4. Liwepo somo la utu na upendo kupeana vipaombele barabarani inapo bidi:Kuna wakati ajali hutokana na watu kujali pesa utu na upendo wao haupo matokeo yake kila mtu akiwa ndani ya gari hutazamia awahi kufika matokeo katika haraka zilee mwendo Kasi hujikuta wame sababishiana ajali au kuwa sababishia ajali hata waenda Kwa miguu.ila kukiwepo somo la upendo na utu madereva watajifunza kuwajali abiria wa ndani mpaka wenzake anao pishana nao barabarani iwe mabasi au magari madogo ama watembea Kwa Miguu pia.
Hitimisho: Ajali zinaweza kuisha ila lazima vipaombele hivi vifuatwe na wamiliki wa magari mpka madereva nama polisi na serikali Kwa ujumla wake.hizi njia zitaondoa ajali nyingi Kwa miaka 5 mpka 15 tukiweza kuzifuata.
.

Upvote
2