Tanzania bila wachaga ingekuwa nyuma sana kimaendeleo

Habarini!

Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya juu au hyo huduma wanaitumia kwa kiasi kikubwa sana kuliko makabila mengine.

Mfano kwenye biashara ya pombe, wachaga hapa ni changanyikeni. Yaani Kuna wanaokunywa Kila aina za pombe including zile za Bei kubwa kubwa mpaka kwenye pombe za chini kabisa, they are active.

Ukija kwenye suala la biashara wanazofanya wachaga ni kianzia zile top kwa uchangiaji wa pato la taifa mpaka the lowest businesses kwenye uchangiaji wachaga wapi pia.

Ukija kwenye suala la starehe. Sote tunajua starehe ni gharama, ili uonekane unapenda starehe lazima uwe na pesa na kwenye starehe ndyo nchi inanufaika zaidi kuingiza mapato. Mfano kwenye hotels, mchaga hata kama pesa yake ni ya kuunga UNGA lazima atafanya vitu vya starehe tu ambavyo mishori wake ni kuingizia serikali mapato.

Ukija kwenye suala la kufanya kazi😛amoja na kwamba watu wengi wanaogopa kufanya kazi na wachaga kwa kuhofia kuibiwa lakini Hawa watu kazi wanafanya ase, Kuna muda huwa nawafananisha na wachina, hawachoki. Mimi binafsi Bora mtu anafanya kazi hata akiniibia najua ataiba kwa akili lakini unakutana na mtu ni mvivu wa kazi lakini anaiba kama kawaida, sasa kipi Bora hapo?
mbona mji wao wa Moshi umedumaa km mtoto mwenye kwashiakor? Wachaga nchi hii ni wachuuzi tu waliohamia maeneo yenye neema. Ni wakwepa kodi, biashara za magendo hiyo nchi itaendelea na nini. Mchaga maana yake ni shida, ni dhiki. Wamshukuru baba wa Taifa kutujengea utaifa vinginevyo hayo majinga yangekuwa mafukara ya kutupwa. Tuambia ni wapi wachaga wamepaendeleza nchi hii, wachaga huhamia sehemu ambayo tayari imeendela. Nenda kwao hasa Rombo kulivyo na umaskini. Mwisho mnaumwa ugonjwa wa kutojiamini ndio maana mnakesha na kushindamitandaoni kujaribu kujikweza for nothing.

Kwenye kazi wachaga ni wavivu, mtu anashinda dukani au baa amezalisha nini, mchaga yupu mkulima, yupi mfugaji, yupi mvuvi? Haalafu acha upuuzi wachaga hawaendeshi ht 10% ya biashara ya nchi hii. Inaonekana umelewa zile pombe zenu za Rombo.
 
Wachagà hawana hela, ni wezi na ukabila unawasumbua! Mungekuwa na hela Moshi ingekuwa jiji. Kama tz haiwatoshi mkaishi Kenya si mnafanana majivuno. Wahaya nao wakaishi Uganda wanafanana na watusi kujisifu.
Weupe wanapendana wanaungana wawe na maisha Bora miafrika kazi kubaguana tu! Shenzi.
 
mbona mji wao wa Moshi umedumaa km mtoto mwenye kwashiakor? Wachaga nchi hii ni wachuuzi tu waliohamia maeneo yenye neema. Ni wakwepa kodi, biashara za magendo hiyo nchi itaendelea na nini. Mchaga maana yake ni shida, ni dhiki. Wamshukuru baba wa Taifa kutujengea utaifa vinginevyo hayo majinga yangekuwa mafukara ya kutupwa. Tuambia ni wapi wachaga wamepaendeleza nchi hii, wachaga huhamia sehemu ambayo tayari imeendela. Nenda kwao hasa Rombo kulivyo na umaskini. Mwisho mnaumwa ugonjwa wa kutojiamini ndio maana mnakesha na kushindamitandaoni kujaribu kujikweza for nothing.

Kwenye kazi wachaga ni wavivu, mtu anashinda dukani au baa amezalisha nini, mchaga yupu mkulima, yupi mfugaji, yupi mvuvi? Haalafu acha upuuzi wachaga hawaendeshi ht 10% ya biashara ya nchi hii. Inaonekana umelewa zile pombe zenu za Romb
mbona mji wao wa Moshi umedumaa km mtoto mwenye kwashiakor? Wachaga nchi hii ni wachuuzi tu waliohamia maeneo yenye neema. Ni wakwepa kodi, biashara za magendo hiyo nchi itaendelea na nini. Mchaga maana yake ni shida, ni dhiki. Wamshukuru baba wa Taifa kutujengea utaifa vinginevyo hayo majinga yangekuwa mafukara ya kutupwa. Tuambia ni wapi wachaga wamepaendeleza nchi hii, wachaga huhamia sehemu ambayo tayari imeendela. Nenda kwao hasa Rombo kulivyo na umaskini. Mwisho mnaumwa ugonjwa wa kutojiamini ndio maana mnakesha na kushindamitandaoni kujaribu kujikweza for nothing.

Kwenye kazi wachaga ni wavivu, mtu anashinda dukani au baa amezalisha nini, mchaga yupu mkulima, yupi mfugaji, yupi mvuvi? Haalafu acha upuuzi wachaga hawaendeshi ht 10% ya biashara ya nchi hii. Inaonekana umelewa zile pombe zenu za Rombo.
Mkuu inaonekana presha yako ipo juu sana em pumzika kidogo alafu urudi tena
 
Au mmeona watutsi kule Rwanda mnataka na nyie mji design km special people hapa Tz? It won't happen that way.
Abaana ba Ruhinda! 🚮

IMG-20250203-WA0128.jpg
 
Back
Top Bottom