Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line

Bila kuniwekea picha ya choo cha Kibera sitajibu post zako hadi Yesu atakaporudi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Wewe mTanzania mwenzangu unaniabisha mwenzako anaongea vitu vya maana wewe unang'ang'ania shithole wewe ni inzi????
 
Wakati hii taarifa inaandikwa reli yenu ilikua bado story za dezo dezo, sasa leo hii ndio tumeona mkijitutumua kukoroga zege, ila bado sana, hivyo hamuwezi kuanza kulinganisha na reli ambayo inatumika.
But do you agree that your SGR is more expensive than ours? Mmepigwa?

Vv
 
Huyo anaongozwa na mihemko ya kizalendo, hataki kuishirikisha akili yake kukubali kuwa wamepigwa!

Vv
 
But do you agree that your SGR is more expensive than ours? Mmepigwa?

Vv

Ahaaa haaa haaa

Wamepigwa mpaka mChina kaichukua MAANA ndiyo ilikuwa rehani ya mkopo wao. Hivyo jamaa wataiendesha kwa miaka 30+.
 
Ahaaa haaa haaa

Wamepigwa mpaka mChina kaichukua MAANA ndiyo ilikuwa rehani ya mkopo wao. Hivyo jamaa wataiendesha kwa miaka 30+.
Kwanza Muanzishe ujenzi wa reli yenyu ambayo bado iko kwenye renders alafu tutalinganisha bei. Chunga sana msipayuke na kuweweseka kisha mwishoye imaliziye kama bandari hewa ya Bagamoyo.
 
Kwanza Muanzishe ujenzi wa reli yenyu ambayo bado iko kwenye renders alafu tutalinganisha bei. Chunga sana msipayuke na kuweweseka kisha mwishoye imaliziye kama bandari hewa ya Bagamoyo.

Mchina kawagonga teh teh teh teh tihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…