babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Unaita nchi zingine masikini utafikiri hiyo Sgr yenu mlijenga kwa pesa zenu.DR Congo the poorest country in the world itaweza kujenga SGR kama hata haina uwezo wa kujenga lami nje ya city zao? Unakuta lami ziko tu kwenye cities lakini nje ya city ni barabara mpararo. Halafu Burundi hata sitaki kuongelea maana bado wanatwangana, wao pia ni masikini wa kutupwa. Hawataweza kujenga SGR.
Ninazungumzia kuhusu Tanzania kuweza kujenga SGR kwa kutumia pesa yako, wote mlisema Tanzania ni nchi masikini sana haina uwezo wa kujenga SGR ya umeme kwa kutumia pesa yake yenyewe, sasa hivi mnasema DRC ni masikini haina uwezo wa kupata mkopo.
Childish Question, Nairobi- Mombasa high way iko wapi?, Daraja la likoni lipo wapi?. Kwahiyo wewe wakisema watajenga barabara za juu toka JKIA mpaka CBD ili kupunguza msongamano, unataka ikimilike ndani ya mwaka mmoja?Bomba lenyewe liko wapi?
Bro,, ni mtanzania huyoCha kwanza we sio mtanzania, cha pili uwezo wa kujenga wanao, investers wappo hawakosekani hata wachina wapo watachukua tenda
May 2017 ! inafanyaje 2019 au ulicopy tu link bila kuisoma.Strugglers...
Tanzania struggles to finance SGR
Mwakenya ni selfish mno wanahis watu hawawez kisa wao wamekopa, wel until it blows up on their faces kama sgr yetu
it still makes sense to-dateMay 2017 ! inafanyaje 2019 au ulicopy tu link bila kuisoma.
what happened to your esjiarr
Tanzania sio failed state kama kenya.it still makes sense to-date
nakubaliana na wewe asilimia mia kwa mia. kwa sasa tanzania haina ubavu wa kujenga esjiarr labda baada ya miaka mia moja kutoka sasa kama ulivyokiri. shukran sana bro kwa kuliweka jambo hilo wazi. mwenye macho aone na mwenye masikio asikie.Tunaandaa pesa za safar mwakani tu apo sio mbal kwa mambo mazur kama haya tutasubir tu ata miaka mia
tanzania is a dead/ decomposing stateTanzania sio failed state kama kenya.
tanzania is a dead/ decomposing state
Nyie msijidharau nyie mko sawa. Hivi hujui nyie ni top 10 economy in Africa? Mtajilinganisha aje na DRC au Burundi? Ndio mna uwezo wa kujenga kilomita mia mbili ya SGR ya umeme bila kutumia mkopo kama vile sisi tunajenga Lamu port bila kutumia mkopo.Ninazungumzia kuhusu Tanzania kuweza kujenga SGR kwa kutumia pesa yako, wote mlisema Tanzania ni nchi masikini sana haina uwezo wa kujenga SGR ya umeme kwa kutumia pesa yake yenyewe, sasa hivi mnasema DRC ni masikini haina uwezo wa kupata mkopo.
Wachina sio wajinga. Wanajua nani wa kukopesha na nani sio wa kukopesha. Burundi ambayo state house ya rais wao wamejengewa bure na China ndio wataweza kulipa mkopo?Cha kwanza we sio mtanzania, cha pili uwezo wa kujenga wanao, investers wappo hawakosekani hata wachina wapo watachukua tenda
Leo nimemuona Mahondaw. Hicho Jiguu jinanipea jotoHakika inapendeza sana
Cha kwanza we sio mtanzania, cha pili uwezo wa kujenga wanao, investers wappo hawakosekani hata wachina wapo watachukua tenda
Wachina sio wajinga. Wanajua nani wa kukopesha na nani sio wa kukopesha. Burundi ambayo state house ya rais wao wamejengewa bure na China ndio wataweza kulipa mkopo?