babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Unaita nchi zingine masikini utafikiri hiyo Sgr yenu mlijenga kwa pesa zenu.DR Congo the poorest country in the world itaweza kujenga SGR kama hata haina uwezo wa kujenga lami nje ya city zao? Unakuta lami ziko tu kwenye cities lakini nje ya city ni barabara mpararo. Halafu Burundi hata sitaki kuongelea maana bado wanatwangana, wao pia ni masikini wa kutupwa. Hawataweza kujenga SGR.