Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

Jeshi la ulaya linatosha kuja kumnyakua samia ICC wala wasisubiri sijui atoke nje ya nchi, tutachukua jeshi wanachama la ulaya linakuja tu kumnyakua hapo.

Tutawapa nauli kama watahitaji nauli wananchi watachanga kwa wingi.

Samia sio mungu yeye ni mwanasiasa na sasa amejitamba kuwa ameuwa watanzania kwa kutumia vyombo vya dola hili ni kosa kubwa kuliko la madawa ya kulevya au lolote kimataifa na ndani ya nchi.
Hawatnyakuwa kwasababu maslahi Yao wanayapata.
 
Komando mafwele atawapiga hadi kuchakaa hao wanajeshi wa ulaya.Mafwele anamafunzo ya kiwango cha juu aliyoyasomea Bunjumbura.
 
Back
Top Bottom