Tanzania Contributing the least to EAC Parliament

Hahahahaha, we are not interested with EAC, punguza hasira. Rwanda, Burundi, Uganda, South Sudan and Kenya you all suffer the same disease of tribalism. Tribalism is primitivity, why should we be interested with primitivity?
Lol. Your GDP is only bigger because you decided to give birth like there is no tomorrow.

Comparing your GDP to a country like Botwana with 2 million people is like judging a fish by its ability to climb trees.

You have a GDP just 3 times Botswana, but a population 20 times. SHAME ON YOU!

You are the shame of Africa. Full of poverty.
 
I hope one day Kenya will be a member of European Union to replace UK.
Says the country going head to head with DRC in poverty. A country forever at war vs one that has always been peaceful.
It appears you have gained nothing from SADC.
 
Chimbuko la SADC ni mapambano dhidi ya ukoloni.
naona umeanza kuibuka na hoja zako, ila ukweli ni kwamba chimbuko la SADC ni umaskini eneo la kusini mwa Africa.
IMG_20181127_213321_294.JPG
IMG_20181127_213345_493.JPG
 
Hahahahaha, we are not interested with EAC, punguza hasira. Rwanda, Burundi, Uganda, South Sudan and Kenya you all suffer the same disease of tribalism. Tribalism is primitivity, why should we be interested with primitivity?

yaani hata dakika kumi hazijapita ushawaruka Rwanda, Burundi na Uganda?? eeh jameni sasa SADC mtaenda na nani tena??
 
Hao tupo kwenye process ya kuwaombea kuwa members wa civilised block, wakishafika kule wstaambukizwa civilization, before that, they are still primitive.
 
Vipi kuhusu chimbuko la EU ambako Kenya ndiko inakopaswa kujiunga?. Ninyi mlisaliti Africa, nendeni mkajiunge na mabwana zenu, you are not needed in Africa.

sisi tulishawaoa nyinyi, hata wewe kwako ndio unagharamia kila kitu sasa iweje mkeo akufukuze nyumbani? sisi hatubanduki EAC.
 
Sasa tukiwaondoa Rwanda, Burundi na Uganda, itabaki Kenya na South Sudan. Kumbuka South Sudan ranked number one, and Kenya number 17 on the list of failed states. Kwahiyo mtabadili jina, badala ya EAC mtaita " Organisation of failed states"(OFS)

Nani kakudanhanya?., hauni Mozambique, jirani yenyu kaingia mfukoni mwetu.., na bado!
Kenya, hamna alternatives lazima mlazimishe na kubembeleza EAC, ikivunjika na ninyi kwisha kabisa
 
Sasa tukiwaondoa Rwanda, Burundi na Uganda, itabaki Kenya na South Sudan. Kumbuka South Sudan ranked number one, and Kenya number 17 on the list of failed states. Kwahiyo mtabadili jina, badala ya EAC mtaita " Organisation of failed states"(OFS)

images.png

naona mna nia ya kuwaongeza vilaza wenzenyu hapo SADC sasa mtabadili jina hadi Association of LDC's Southern Africa Branch.
 
View attachment 948477
naona mna nia ya kuwaongeza vilaza wenzenyu hapo SADC sasa mtabadili jina hadi Association of LDC's Southern Africa Branch.
Hahahaha, Kenya lazima mtajuta kwa usaliti wenu dhidi ya bara la Africa. Tanzania tuliongoza mapambano ya kuzikomboa nchi za kusini mwa Afrika, sasa hivi tutaongoza mapambano ya kuzidhalilisha nchi zote zilizo saliti waafrika.
 
Mnaongoza kwa umaskini.
 
Hahahaha, Kenya lazima mtajuta kwa usaliti wenu dhidi ya bara la Africa. Tanzania tuliongoza mapambano ya kuzikomboa nchi za kusini mwa Afrika, sasa hivi tutaongoza mapambano ya kuzidhalilisha nchi zote zilizo saliti waafrika.
sijawahii kuona kipofu akiwavukisha vipofu wenzake barabara!
 
Hahahahaha, we are not interested with EAC, punguza hasira. Rwanda, Burundi, Uganda, South Sudan and Kenya you all suffer the same disease of tribalism. Tribalism is primitivity, why should we be interested with primitivity?

Tribalism which also exists in every SADC country. Mshenzi kweli.
But better tribalism than national laziness.
Nchi yenye raslimali, amani, na bila ukabila kutoka ipate uhuru, aje ikawa ndio inaongoza umaskini?

Uzembe ni ugonjwa mbaya kuliko ukimwi.
 
Kwa miaka 40 sisi tukiwa tunapigania kuwakomboa waafrika, ninyi mlikua mnalelewa na wazingu, Kenya, South Korea, Singerpore na Israel, mlipewa equal opportunities from western countries, wenzenu wameendelea, ninyi hadi Leo mnaongoza kwa slums na njaa duniani.

Tumemaliza vita, tumeanza kujenga uchumi, na tumeanza kuwauzia chakula, unemployment, inflation and many social services tumeshawapita, hiyo ni nchi ya laana, mnachojua ni kuuana wakati wa uchaguzi na political assassination.

Back
Top Bottom